Search results

  1. K

    Nafasi ya kazi - Mkurugenzi Mwendeshaji - Bodi ya Utalii Tanzania

    VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Tourist Board (TTB), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 1 vacant post in the above Public Institution
  2. K

    Kuitwa kazini - Bodi ya Utalii - (TTB)

    Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia wasailiwa wote waliofaulu usaili wa mahojiano uliofanyika kuanzia tarehe 19 - 20 Desemba, 2014 kuripoti kazini kuanzia tarehe 08 Januari, 2015. http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/KUITWAKAZINI.pdf
  3. K

    Mtokeo ya USAILI Bodi ya Utalii TTB

    Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia matokeo Wasailiwa wote waliofanya mtihani wa mchujo uliofanyika Siku ya Jumamosi tarehe 13 Desemba, 2014 http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/USAILI.pdf
  4. K

    TTB watangaza walioitwa kwenye usaili

    Bodi ya Utalii Tanzania TTB, imetangaza majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo. Taarifa kamili kupitia kwenye tovuti yao http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf au fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
  5. K

    Kuitwa kwenye usaili Bodi ya Utalii Tanzania

    Kupitia link ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo wa awali watangazwa. Tazama http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf au kwenye fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
  6. K

    Mafunzo ya Muziki kwa Watoto

    Tunatoa mafunzo ya muziki kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 4. Masomo hayo ni kujifunza kupiga keyboard (piano), ngoma na kuimba. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0778350664.
  7. K

    Mwalimu wa muziki - Dar-es-salaam

    Mwalimu wa muziki mwenye uwezo wa kufundisha watoto wadoto anahitajika. Kwa mawasiliano piga namba 0778350664
  8. K

    Mwalimu wa shule ya awali anahitajika haraka

    awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education) aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja awe raia wa Tanzania awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa kwa maelezo zaidi piga 0778350664 shule ipo Dar-es-salaam
Back
Top Bottom