Wadau naomba uelewa juu ya hii kodi ya umri (age) kama inavyooneshwa kwenye TRA calculator
Reference Number:
22234104475
Make:
TOYOTA
Model:
HARRIER ZSU - 60 / 65
Body Type:
SUV
Year of Manufacture:
2015
Country:
JAPAN
Fuel Type:
PETROL
Engine Capacity:
1501 - 2000 CC
Customs...
Wakuu naomba ushauri wenu.
Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017.
Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja.
Chaguo langu la...
Wakuu salama?
Juzi Jumamosi usiku mida ya saa mbili hivi njia inayoenda Sinza kupitia Tandale, kuna dada mmoja nilimchomekea barabarani, mimi naingia yeye anatokea barabara ya Tandale anaenda Sinza, akaniambia '' tabia mbaya hiyo''
Wewe dada nakuomba msamaha sana, na ningependa nikufikishie...
Kwangu mimi nikijaliwa napenda nimiliki muziki aina ya Bose Home theatre system,model yoyote,sijui hapa tanzania zinapatikana wapi?na nyingine ni pioneer nayo ni balaa,
Sijui wewe ndugu yangu unapenda model gani ya music system as home theatre?
Karibu tubadilishane mawazo kuhusu ubora wa vitu hizo
Wakuu kwema?kwa mtu yoyote anayekuja mwanza,tunatoa huduma ya usafiri,bei zetu ni affordable,lakini sio self driving kwa kuwa ni mwanzo!karibuni sana,kwa maelezo zaidi please PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.