Search results

  1. feyzal

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Mpaka leo naona Mark 2 imesimama sana hasa jamii ya Chaser na 110
  2. feyzal

    Ewe Kijana Mchakalikaji, katika Kutafuta, usifanye kosa la kujiwekea Deadline!

    Bandiko zuri,shukran kwa neno mkuu.
  3. feyzal

    Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Mkuu hii ikichoka nitainunua mimi 😁 ile DUN nimeikosa.
  4. feyzal

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Pole mkuu,ila shika hii "There no victory without history". Mimi nimewahi pitia changamoto ngumu sana wakati nasoma na kuna muda nilikua nipo nipo tu kulala na kukaa pekee yangu muda mwingi sihitaji hata kusoma lakini nikavuka yote na imebaki kama funzo. Sisemi maisha yamekua mazuri hivyo lakini...
  5. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Ft Dodoma jiji 0 - 1 simba
  6. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Dk 94 muda wowote mpira utaisha.
  7. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Dk ya 90 zimeongezwa 4.
  8. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Ila Simba itafute Play maker ndo kinakosekana mechi hii.
  9. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Goal difference nasikia ndo cha kwanza.
  10. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Balua naona kijana anaupiga mwingi.
  11. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Mechi ikiisha hivi Simba na Azam wote watakua na point 60 ila Azam atabaki nafasi ya pili kwasababu ya uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
  12. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Saidoo anapiga faulo hatari inagonga mwamba pale na beki anaokoa dk 63
  13. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Dk 59 simba wanapoteza nafasi nzuri ya kufunga kwa kaunta.
  14. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Chasambi anapima umri mtu hapa kwenye boksi la dodoma
  15. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Dk 51 mchezaji wa dodoma yuko chini mechi imesimama.
  16. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Goli la freddy ni offside
  17. feyzal

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Dodoma wanafanya shambulizi hatari kipa wa Simba Abel anacheza.
Back
Top Bottom