Search results

  1. Tabutupu

    The Birth of Kivu Republic: A New Chapter in African Geopolitics

    In the heart of Africa, a new nation is poised to emerge - the Kivu Republic. Nestled in the scenic landscapes of the Great Lakes region, this fledgling state promises to mark a significant milestone in the continent's tumultuous history. As the world watches with anticipation, the birth of Kivu...
  2. Tabutupu

    Will Tanzania's New Region Bear the Name of the Ulanga River? Splitting Morogoro Region

    According to certain sources within government officials, the Tanzanian government is on the verge of unveiling a new region set to emerge from the Morogoro region. While the name of this forthcoming region is still up for discussion, there's a strong indication that it will be named after the...
  3. Tabutupu

    Kwanini awamu hii kila kitu wanataka kiitwe jina la Rais. Kunahitajika sheria mahususi

    Kume kuwa na utaratibu wa ajabu kwa awamu hii kutaka kuita kila mradi jina la Rais, na mbaya zaidi hakuna sheria wala utaratibu wa kufuata. Sasa hivi nasikia uwanja wa Arusha wanataka uitwe Samia. Miaka ya nyuma ilikuwa ni mwiko kuita kitu chochote kwa jina la Rais aliyeko madarakani, ilikua...
  4. Tabutupu

    Waziri Biteko ameonesha dira ya uongozi, Tanesco ipo mbioni kuanza kupata faida

    Wafu wengi wanashindwa kumwelewa Dkt. Biteko, lakini wale ambao wanajua maana ya uongozi wanatambua kipaji alicho nacho kijana huyu. Tanesco imepata kiongozi na tanesco chini ya biteko inakuja kuwa shirika ambao litashindana na private companies katika kupata faida na kutoa huduma bora kwa...
  5. Tabutupu

    Hizi ndio sababu BRT (Mwendokasi) kukosa mwekezaji, na hatatokea hadi marekebisho yafanyike

    Mwendokasi sasa hivi inaendeshwa kwa hasara tena hasara kubwa, yamkini hata vipuri au mafuta yanatikana na mkono wa serikali. Zipo sababu lukuki kwa nini shirika kama Udart kuendeshwa kwa hasara kwenye jiji lenye watu mil 5 na zaidi. Wakati mwendokasi bado ipo chini ya uangalizi wa world bank...
  6. Tabutupu

    Mahakama za Tanzania ni dhaifu au Zinadharauliwa? Waziri Silaa na Makonda kielelezo

    Mahakama inahitaji kupewa nafasi yake,
  7. Tabutupu

    Mitaala mipya ya Elimu imelenga kukuza ujinga

    Ndio maana tulishauri kuwe na authority inayo simamia mitaala ya elimu kama ilivyo nchi nyingine zinazo endelea. Jambo hili linahitaji watu wasomi, wenye uelewa mkubwa wa dunia, walifanya vizuri kwenye elimu na watu wasio na njaa. Hizi taasusi ni kama zimetengenezwa na baraza la madiwani...
  8. Tabutupu

    Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

    Ili kukidhi viwango vya FIFA inabidi uwe na seat kuanzia 40,000. Tanzania kwa sasa hatuna uwanja wa kuhost ufunguzi wa finally za kombe la Dunia. Walau mkapa unaweza host robo fainali. Kwanini Serikali isiongeze just. 10K walau kuwa na uwanja wa viqango vya FIFA? Maoni yangu bado wanaweza...
  9. Tabutupu

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia. Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu sahihi? Watanzania tunaheshimu kazi ambayo Rais samia ameifanya hasa kumalizia miradi ambayo aliachiwa na...
  10. Tabutupu

    Haya ndio Magari top 5 Tanzania kwa ubora na wingi 2024

    1. Prado (ubora na wingi) 2. Subaru (ubora na wingi) 3. Rav4 (wingi) 4. Vitz (wingi) 5. IST (wingi) Usichanganye bajaji na IST, IST ni gari.
  11. Tabutupu

    Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    Kesho ni siku muhimu sana ya kukumbuka mtanzania aliyekuja kuleta mabadiriko ya fikra , alikuja ghafla na kuondoka ghafla. Kuna mengi sana ya kujifunza toka kwake, na ameacha alama nyingi ambazo hazita futika katika taifa hili. RIP Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania Nov 5 2015- March...
  12. Tabutupu

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui.. Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje , kwanini kiletwe toka marekani? Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani? Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo...
  13. Tabutupu

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Nimemsikia Katibu Wizara ya Michezo kwamba serikali inajenga uwanja wa mpira wa kuchukua watu 30,000 na wataupa jina la Rais Samia. Moja sio sawa kuweka jina la Rais kwenye vitu vidogo kama hivi. Pili ni kupoteza pesa za umma kwa sababu kujenga uwanja wa watu 60,000 ni pesa kidogo sana...
  14. Tabutupu

    LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Haya ni maajabu, Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia.. Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, suruali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya. Latra sio akili zao zinawaza nini? Kama hawana mambo ya kufanya...
  15. Tabutupu

    Rais yupi ana speech zenye mashiko (Tanzania)?

    Hii ndio ranking kwa mtazamo wangu kulingana na aina ya speech. General Speech 1. Mkapa 2. Magufuli 3. JK 4. Mwinyi 5. Samia Speech za mipango na maendeleo 1. Magufuli 2. Mkapa 3. Kikwete 4. Samia 5. Mwinyi Speech with comedy 1. Mwinyi 2. Kikwete 3. Magufuli 4. Samia 5. Mkapa English speech...
  16. Tabutupu

    Awamu ya sita ni mti unao nyauka kila kukicha

    Awamu ya sita ilianza mwaka 2021 baada ya Rais magufuli kufariki. Ilianza kwa mbwembwe na huku mambo yakionekana yanaenda. Kwanini kadri siku zinavyo kwenda , mambo yanazidi kuzorota? Watalaam wanasema, hii inatokana na kwamba, miaka ya mwanzo ya awamu ya sita walitembelea nguvu ya Magufuli...
  17. Tabutupu

    Kwanini Serikali haiajiri Madaktari (MD) wakati kuna upungufu mkubwa, inaajiri CO (Clinical Officers) na manesi?

    Ni ajabu sana kuona Daktari aliyesoma miaka 5 na kukaa hospitali mwaka mmoja yupo mtaani kwa kukosa ajira, juzi nimekutana na daktari aliyemaliza mwaka 2020 Udom, ni dereva bodaboda. Nimeambiwa sasa hivi katika ajira tamisemi 95% wanaajiri clinical officers (diploma) na nurses na wizara ya afya...
  18. Tabutupu

    Wakazi wa mto Ng'ombe wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Mto Ng' ombe ambao huanzia ubungo hadi bahari ya hindi kabla ya Rais Magufuli kulikua ma mafuriko yaliyo sababisha nyumba kuharibika na watu kupoteza maisha na mali. Lakini kwa kazi ambayo Rais Magufuli aliisimamia kuhakikisha mto ngombe unajengwa, mitaa hiyo imekua ni moja ya sehemu salama...
  19. Tabutupu

    Tanzania kujenga viwanja 6 vipya bora vya mpira kabla ya 2026

    Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000. Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa. Mikoa hiyo ni Mwanza...
  20. Tabutupu

    Kwanini Team Samia inaogopa kuenguliwa 2025?

    Za chini chini ni kwamba ndani ya ccm k Kwa sasa kuna makundi kama matatu. Kundi la kwanza Hili kundi lina amini mama anatakiwa kupigiwa kura upya na wana ccm kwa sababu hakupitia mchakato wa kumpata mgombea wa chama na wala hakuchukua form. Hivyo linataka form zitolewe na mchakato ufanyike...
Back
Top Bottom