Search results

  1. mpinga shetani

    Tetesi: Ngorongoro kuwa kitalu cha uwindaji

    Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji. Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta. Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
  2. mpinga shetani

    TBC ACHENI UTAPELI

    safi
  3. mpinga shetani

    Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa

    Ingawa yeye na wapambe wake hawajatamka rasmi. Lowassa ameanza kupunguza spidi hata fedha alizokuwa anawagawia maafisa wa UKAWA waliokuwa wanamzingira kwenye kila kampeni zimekatwa. Watu wameanza kulumbana na hata baadhi ya mikutano imeahirishwa..
  4. mpinga shetani

    Mchumba akikubwaga Fanya hivi....

    Boyfriend kapata binti mwingine mrembo zaidi yako? Girlfriend hataki tena kukusikia? Au umetimuliwa kazi? Sasa kuna jibu: Hamia Ukawa. Ndio eneo wanakokwenda watu waliokosa mvuto kwingine.
  5. mpinga shetani

    Chacha Wangwe alifariki tarehe kama hii

    Tarehe 28 July. Chacha Wangwe, mwanamageuzi thabiti alipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha. Alikufa baada ya kuhitilafiana na viongozi wa CHADEMA. Leo tena, tarehe kama hiyo Lowassa anajiunga CHADEMA. Kila la heri Eddo ila ujue ulikoenda Pengine usirudi.....
  6. mpinga shetani

    Wananchi Arusha Mjini wamtaka Lowassa kugombea Ubunge

    Wananchi Arusha wanamtaka Lowassa kwa udi na uvumba. Arusha, ambao ni miongoni mwa mikoa iliyomdhamini kwa wingi, Edward Lowassa katika safari yake ya kwenda ikulu hivi karibuni bado ina Imani kubwa na mwanasiasa huyo mkongwe. Hata hivyo, wakazi wa Arusha wamemuomba Lowassa agombee kiti cha...
  7. mpinga shetani

    Mbowe kuwauzia UKAWA malori ya Kampeni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni. Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
  8. mpinga shetani

    Kikwete aingia na kutoka Arusha Kimya Kimya

    Rais Jakaya Kikwete ameingia Arusha kimya kimya kwa kutua uwanja wa ndege kisongo, kavuka barabara hadi eneo la Laki laki, kuzindua ujenzi wa mahakama ya kimataifa. Baadae akarudi airport na kupaa hadi Dar. Amekacha kuwaaga wananchi wa Arusha waliokusanyika Stadium jumatano asubuhi
  9. mpinga shetani

    Slaa will never be the 5th president of Tanzania

    Gazeti la Daily News lilitabiri katika kipindi cha uchaguzi 2010, kwamba huyo Slaa hawezi kamwe kushika dola. Wafuasi wa chama cha Mbowe wakaja juu wakitokwa povu eti wamedhalilishwa. Ukweli ni kwamba gazeti hilo kongwe nchini halikukurupuka. Slaa hakuwa rais mwaka huo. Na hakika hatakuwa...
  10. mpinga shetani

    Wamem Kolimba Gwajima?

    Baada ya kuhojiwa tu, Mchungaji Gwajima aliyekuwa mzima wa afya anajikuta kalazwa mahututi, ICU. Ilikuwa vivyo hivyo kwa Horace Kolimba. Halafu hii ina uhusiano wowote na suala la Lowassa kuzindua helicopter yake? Au ishu ni Pengo tu.
  11. mpinga shetani

    Vodacom wamenipora 50,000

    Vodacom Tanzania WAMENIPORA elfu hamsini kama mchezo. Huu mtandao hakika ni majizi walioshindikana. Nina zaidi ya mwezi sijapokea wala kuweka Mpesa. Nimeshangaa ghafla napata meseji eti TRANSACTION REVERSED. Nikadhani utani, kucheki account yangu wamekomba 50,000. Vodacom ni kwamba hizo fedha...
  12. mpinga shetani

    Kikwete anapousifu ukoloni

    Ujumbe huu unasambazwa na MWALIMU mmoja aliyepata Shock baada kumsikiliza Kikwete NITAFICHA WAPI USO WANGU KWA ALIYOSEMA RAIS? Rais profesa Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru serikali ya Ujerumani kwa kututawala na kutuletea maendeleo wakati wa ukoloni. Akizungumza mbele ya waandishi wa habari...
  13. mpinga shetani

    Furahini wote. Pirate bay imerudi hewani

    Pirate Bay is back online two months after Swedish authorities delivered what had appeared to be a fatal blow to the notorious file-sharing website. Following the longest outage in the history of the decade-old website, a slimmed down version of The Pirate Bay came back online over the...
  14. mpinga shetani

    Nani zaidi kati ya haya makabila?

    NANI ZAIDI? 1=Mkurya aliyekwenda benk na Spana kufungua akaunti. 2=Msambaa anayevua viatu ili apande taksi. 3=Mkwere anayepanda kitandani na rula kupima atalala muda gani. 4=Nesi wa kisukuma anayemuamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi. 5=Mchaga anayepunguza Sauti ya tv ili ahesabu...
  15. mpinga shetani

    Nyalandu kulikoni saudi arabia?

    Ni waziri wa utalii. Wanyama wote wako chini yake. Yuko Saudi Arabia akidai kutakuwa na ushirikiano baina ya waarabu na Tanzania katika uhifadhi. NYALANDU anataka urais. Mabedui nao wanataka Wanyama.... Mtajaza!
  16. mpinga shetani

    Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

    Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao. MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo...
  17. mpinga shetani

    NATAFUTA NYIMBO HIZI ZA OSS Duku Duku

    Kwa vijana wa zamani. Nazitafuta nyimbo hizi za bendi ya Orchestra Safari Sound enzi za Ndala Kasheba. 1. Mwanakwetu 2. Nifanye nini dunia hii 3. Bakambi Nkela 4. Kupenda ni upofu Tafadhali kwa aliye nazo Tuwasiliane
  18. mpinga shetani

    Tahadhari watumiaji wa tigo!!

    Hawa wezi wakubwa. TIGO Wamedhihirisha ujambazi wao sasa. Walitangaza kuwa kifurushi cha Internet cha 20000 kwa mwezi ni GB 30. Nimeweka 20000 leo na kupewa 5GB kwa mwezi. Tafadhali usiingie mkenge. Mjulishe na mwenzako asije akaporwa hela zake. Naitupa mbali line ya Tigo. Tigo ni wezi na matapeli
  19. mpinga shetani

    Nahitaji Power DVD PC software

    Natafuta Power DVD version 14 iliyo genuine na keys zake. Aliye na hiyo software anaweza kuni PM. Kama anaiuza pia anijulishe.
  20. mpinga shetani

    Hivi ni sawa ofisi ya Mkuu wa Mkoa kulindwa na Kampuni Binafsi ya ulinzi?

    Ninaamini kabisa kuwa Majengo ya ofisi za wakuu wa mikoa ni premises za serikali kuu kama ilivyo ikulu na hivyo basi kwa masuala ya ulinzi tungetarajia kuwa polisi wangepewa jukumu hilo. Lakini hivi karibuni tumeshangaa kuona jengo la utawala la mkoa wa Arusha (Regional Commissioner's Office)...
Back
Top Bottom