Search results

  1. Mla Mbivu

    Ipi hatari, Uranium Selous au Serengeti highway?

    Barabara ya Serengeti ilikuwa na manufaa sana kwa Uchumi wetu kwa kuboresha Miundombinu na kukuza utalii. lakini mashirika kibao ya kimataifa yaliipigia kelele mengi yakiwa nyuma ya Kenya eti wanyama watapungua Maasai Mara (inatuhusu nini?), mwishoni serikali ikaogopa kufanya maamuzi magumu...
  2. Mla Mbivu

    Nauza digital camera sony

    topic closed
  3. Mla Mbivu

    Msaada: Athari za kushuka thamani kwa TZ shilingi

    wakuu nisaidieni tafadhari, nina kiasi cha shilingi milioni 6 benk. Bado sijajua/sijaamua nifanye biashara ili kuizungusha, sasa mwendo wa kuporomoka kwa shiling yetu kunaniogopesha mpaka natamani nifungue akaunt ya dola na nihamishe fedha zote to USD au EURO. Nishaurini wakuu, je nifanye hivyo?
  4. Mla Mbivu

    Moto Mkapa towers

    nipo mkapa towers hapa, watu wote wamekimbia kushuka chini, moto floor ya 15
  5. Mla Mbivu

    Mawakala wa CUF wameipigia kura CCM?

    Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
  6. Mla Mbivu

    Mawakala wa cuf wameipigia kura ccm

    Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
  7. Mla Mbivu

    Elections 2010 What if mgombea wa chadema igunga angekuwa muislam?

    Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam mwenzao wangethubutu kutoa matamko? Na ingekuwa mgombea wa CCM au CUF angekuwa Mwislam, jamaa si...
  8. Mla Mbivu

    Vengu anaumwa nini?

    naona kila wiki kwenye origino komedi masanja lazima amalize kwa kusema jamaa anaumwa.
  9. Mla Mbivu

    Jamaa anayemtukana kikwete hapa posta mpya...

    Wakuu kuna jamaa kwa muda mrefu kweli amekuwa akimwaga matusi kwa j.k kwa style ya kuhubiri, utasikia kikwete kichaa, kikwete ni joka, kikwete mpumbavu, hili joka mungu ataliondoa. Kwa wanaopita posta mpya kuanzia saa 11 jioni watakuwa wanamfahamu huyu jamaa. WANAOMFAHAMU HUYU JAMAA KITAMBO...
  10. Mla Mbivu

    Maskini watoto wetu...

    Nipo kwenye bar flan hapa maeneo ya banana zilipo bar nyingi na kitimoto. Kwa kweli hali niliyoiona hapa ni ya kusikitisha kwani asilimia kubwa ya wahudumu wa hapa ni watoto wa kike wenye umri kati ya miaka 14 mpaka 17. Hali inatisha wadau.
  11. Mla Mbivu

    Matokeo ya interview utumishi wa umma - national identifications (nida)

    Wakuu kuna mwenye taarifa za interview ya utumishi ambayo tulifanyia uhasibu kurasini na wengine walifanya ifm tangu mwezi wa 3 kama sikosei. Mimi nilifanya ya nafasi ya systems administrator, lakini mpaka leo naona kimya. Kuna mwenye taarifa, pia walifanyiwa interview registration officers...
  12. Mla Mbivu

    Rais naomba pipi...

  13. Mla Mbivu

    ..

    ..... [thread exists]
  14. Mla Mbivu

    Duh, hawa jamaa ni noma...

    [removed for security reasons]
  15. Mla Mbivu

    Ongezeko la wachina kariakoo...

    wadau miaka miwili kutoka sasa sidhani kama kutakuwa na m-bongo anayefanya biashara kariakoo, sababu nimepita karibuni mitaa miwili nimekuta asilimia 80 ya vibanda vinashikiliwa na wachina, tena wanauza bidhaa reja reja, kazi kwetu watanzania...
  16. Mla Mbivu

    Waliowahi kushika nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa...

    wadau naombeni kama party of history anayefahamu aniambie majina ya watu waliowahi kuwa wenyekiti wa cdm, tangu kuanzishwa kwake...
  17. Mla Mbivu

    Hili linatisha, dunia inaelekea pabaya.....

    MARKTECH The mark is a microchip assembly which will be implanted under the skin of the right hand. Later on, the mark will be implanted under the forehead, this chip will be used by doctors and hospitals to keep...
  18. Mla Mbivu

    Makao makuu ya CHADEMA yapo wapi?

    Wadau naomba mnifahamishe yalipo makao makuu ya Taifa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  19. Mla Mbivu

    Freemanson, illuminati

    Wakuu mnalionaje hili, magazeti kadhaa nchini hususan gazeti la Tazama Tanzania, yamekuwa yakiandika habari za freemanson, illuminati karibuni kila toleo, tena ukurasa wa mbele sehemu ya chini, binafsi sijaweza kuelewa lengo lao ni nini zaidi ya kuhisi kuwa wanatumiwa na hao members wa hiyo...
  20. Mla Mbivu

    Facebook to launch e-mail service..

    MTANDAO WA KIJAMII NAMBARI MOJA DUNIANI WENYE MEMBERS WANAOFIKIA MILIONI 500 UMESHACHUKUA SITE YA Welcome to Facebook KWA AJILI YA KUANZISHA HUDUMA YA E-MAIL AMBAYO INAONEKANA KUJA KUWA TISHIO KWA GMAIL NA YAHOO!! mfano@fb.com MNAIONAJE HIYO!!!
Back
Top Bottom