Kuna taarifa zinazoenea kuwa, wakulima waliokuwa wakimiliki mashamba katika shamba namba saba lililopo ktk kijiji cha mambegwa wilayani kilosa kunyang'anywa mashamba yao.
Ingawaje wakulima hao walipewa mashamba hayo kihalali mwaka 2009 yakiwa ni mapori na misitu minene, lakini inasemekana kuna...
Ndugu wana bodi
Kumekuwa na kamata kamata ya wakulima wanao lima shamba namba 7 ambalo lipo ktk kijiji cha Mambegwa wilaya y Kilosa.
Inasemekana kuwa shamba namba saba amepewa muwekezaji mwaka 2015,na amepewa karibia ekari 1300.
Cha kushangaza ni kuwa, wakulima wao wanasema waligawiwa mashamba...
Ndugu wa Tanzania mimi nina ombi kwa Idara ya uhamiaji Tanzania
Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza uongozi mzima wa idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanya. Kiukweli Idara hii imekuwa ikitoa pasipoti mpya ndani ya wiki moja hadi mbili pindi tu utakapokuwa umetimiza vigezo na...
OTAFIIRE MESSAGE TO BOBI WINE LEAVES THE NATION IN SHOCK
Minister of constitution affair Major General Tahinda Otafiire has stated that army will not allow Kyadondo East member of parliament Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine to rule the country.
Otafiire warned Ugandans against trusting people...
Kwanza TV
16 mins ·
“Niliwahi kutumia bandari ya Dar es Salaam zaidi ya mara 3, lakini kutokana na uaminifu mbovu na urasimu kwa taasisi za ukaguzi ghafla nikahamia bandari ya Mombasa, wasipodhibitiwa watu hawa bandari zetu zitakufa” Mkurugenzi wa Jayjey Ltd - Humprey Mosha. #KwanzaHabari
CARACAS/WASHINGTON, Jan. 24 (Xinhua) -- Venezuelan President Nicolas Maduro said on Thursday he will close the country's embassy and consulates in the United States, a day after severing "diplomatic and political" ties with Washington.
Venezuela's diplomatic personnel will return as soon as...
Ndugu wana JF Kheri ya Mwaka Mpya 2019
Samahani wadau, natafuta spare part za Mazda Titan Dash TC-SYE6T,CHASSIS NO.: SYE6T-202022, ENGINE CAPACITY: 1,990 CC,
TRANSMISSION: Manual
Kwa mwenye uelewa wapi naweza kupata tuwasiliane kwa email engmtoleraibrahim@gmail.com
Asanteni sana
Ndugu wana JF
Habari za majukumu, Samahani, nahitaji Asali toka kwa wafugaji, asali hiyo ikidhi haya yafuatayo:-
1. Isiwe imechemshwa.
2.Iwe na uwezo wa kupita test zitakazofanywa na TFDA na TBS
3. Nyuki wawe ni wa porini na ni wale wakubwa
4.Mfugaji au wafugaji wawe na uwezo wa kusupply angarau...
China has urged East African countries namely Kenya, Uganda, and Tanzania to hand over the management of their capital cities for five years so that they can develop them.
Huyu mwandishi wa African Daily, anasema kuwa China inataka majiji hayo matatu yawe kama New York na Shanghai.
Kwa habari...
Ndugu wadau wa JF,
Naomba kuwasalimu kwa heshima kubwa na baada ya salamu. Naomba nichukue fursa hii kupongeza ujio wa Muswada huu,una mambo mazuri mengi.
Ningependa kwa ujumla wetu tujadili haya mapendekezo yanayohusu Muswada wa marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa, kama ulivyo wekwa...
Wadau wa Scooting,kwa sasa tuna vifaa kwa ajili ya scooting(hoverboard),hivi vinaweza kutumika kwa ajili ya watoto na watu wazima pia.
Vifaa hivi vina ubora wa hali ya juu na bei zetu ni karibu na bure,tunauza kwa reja reja na jumla
Ukubwa wa Battery ni 36V 2.4AH,
Tairi size yake 6.5 Inch...
Ndugu Wakulima wenzangu, habari za majukumu
Moja ya tatizo kubwa linalopunguza uzalishaji wa mazao kwa wakulima wetu ni matumizi ya Ardhi yenye alkali kubwa kupita kiasi. Hapa namaanisha utakapopima udongo wako na kukuta pH yake ni zaidi ya 7 elewa kuwa huo udongo ni wa alkali na pH huenda hadi...
In an Oval Office meeting with lawmakers on Thursday, President Donald Trump described Haiti and African nations as “shithole” countries and slammed the idea of restoring protections for immigrants from those regions.
“Why are we having all these people from shithole countries come here?” the...
Habari za Majukumu Walipa Kodi Wenzangu
Mteja angependa kupata ufafanuzi Kutoka TRA-Morogoro juu ya aina hii ya faini.
Tarehe 20/01/2017,mteja alikwenda TRA-Morogoro kufanyiwa makadirio yanayohusu kodi ya mapato kwa upande wa gari yake na hii si mala ya kwanza kufanyiwa makadirio kwa gari...
Wadau,
ktk pita pita yangu mashambani nilikutana na kisa hiki ktk picha,baada ya kuwafumania wafugaji jamii ya kimasai wakiwa wameingiza ng'ombe ktk shamba la mkulima ktk kijiji cha majambaa-kichangani kata ya msowero-kilosa-morogoro.
Tunadhani ugomvi wa wakulima na wafugaji utaisha kweli?
Wadau
kwa yeyote anayeelewa wapi naweza kupata soko la NYANYA MAJI na MATANGO anijurishe,iwe Tanzania ama nje ya Tanzania napatikana kwa 0714766823
Asanteni sana
Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.