Search results

  1. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hata kama sio head of state! Ndo apokelewe na diwani na wajumbe wa serikali ya mtaa?
  2. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sergei Shoigu removed as Russian Defence Minister. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  3. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unamfahamu lakini fundi aliecheza na hivyo vyombo kwenye hiyo sound track? Mtafute youtube anaitwa Adrian Berenguer.
  4. I

    Bashe Umenifanya nilie, same study ifanyike kwenye upande wa Dawa (Pharmaceuticals)

    Mimi nimeku block baada ya hii comment. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  5. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii unaenda chaka mzee karudie kusoma. Akichukua Chasiv Yar anajiwekea wepesi wa kuichukua Donbas yote na sio Kiev. Halafu mbona sikumbuki kuona hii ID tokea vita imeanza? Sio wewe kweli jamaa aliweka picha ya General Surovikin ukauliza ni nani? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  6. I

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu mbona Chasiv Yar na Kyiv ni mbali sana?! Una uhakika na ulichoandika?
  7. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Jibu basi kwanza ndio uulize swali. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  8. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Marekani pamoja na kumchukia sana Urusi hawezi kamwe kuwawezesha ukraine kuwa na nyuklia kwasababu sio mjinga! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  9. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Ndio, ni kama Cuba ilivyo mkoa ndani ya Marekani. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  10. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Wewe mbona haujaiweka hiyo Budapest Memorandum? Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  11. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Kama hata hilo halijui huyo ni wa kuachana nae. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  12. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Gorbachev alikua kibaraka wa west ndio maana hata alipofariki hakupewa mazishi ya kitaifa hata kwa kuzingatia ndio alikua rais wa mwisho wa USSR. Warusi hawawezi kumsamehe kwa hilo kamwe. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  13. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Ingia YouTube andika "RFK Jr on ukraine war" utaongeza kitu. Havutii kumsikiliza lakini utapata madini. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  14. I

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Nini kilisababisha Cuban missile crisis? Ni kwanini ilitaka kusababisha WWIII? Ukishapaelewa hapo bila bias hautopata shida kuyaelewa matendo ya Urusi kwa ukraine (Hii sitaki hata kuiandika kwa kuanza na caps). Urusi baadae walikubali kutoa majeshi yao East Germany kwa makubaliano gani...
  15. I

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Unajua Israel walishambulia ubalozi wa Iran Damascus ili Iran ajibu waingie kwenye vita washambulie vituo vyake vya nyuklia. Sasa unajua program ya nyuklia ya Iran haijafikia level ya kutengeneza bomu la nyuklia kwaiyo wakileta ujuaji watapigwa na progress yote waliyoifikia kwa miaka mingi na...
  16. I

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    What's good for the goose is good for the gander. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  17. I

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Niliacha kushabikia mpira siku VAR imeanzishwa kwasababu ilikua rasmi inaubadilisha mpira kutoka kua mchezo na kua video game. Lile lingekua goli bora la mashindano bila ubishi. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  18. I

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Ubaya hauhalalishwi kwa ubaya. Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  19. I

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    maku wee Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
  20. I

    Niger yasitisha rasmi ushirikiano wake na Marekani

    With immediate effect ndo umetafsiri kama athari za haraka? Duh! Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom