Search results

  1. G

    Serekali ya kihuni: DAWASCO kutoza fees kwa watu waliochimba visima vya maji kwao

    Binafsi huwa sipendi mambo ya kuitukana serikali na wanasiasa lakini katika hali ya uchumi ilivyosasa kuna mpango kambambe ushapitishwa na HARUNA MASEBU na wenzake kuwa kila aliyechimba kisima cha maji nyumbani kwake atatozwa fees This is unfair na nadhani its about time tukaanzisha petition...
  2. G

    Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

    katika hali ya kawaida ofisi yake toka saa 6 usiku ilitakiwa ishapandisha ripoti live kwenye website lakini ukweli ni kuwa jamaa hataki na sijui anaficha nini National Audit Office of United Republic of Tanzania lakini ana mtetetzi wake atakuja kutea hii incompetency yake na ofisi yake
  3. G

    Kimya cha mawaziri kivuli wa CHADEMA

    Waziri kivuli wa afya mbona kimya juu ya ufisadi Medical stores? waziri kivuli wa utamaduni mbona yuko kimya juu ya ufisadi unaoendelea kwenye wizara ya emanuel nchimbi? (serikali kugharamia mazishi ya kanumba, sheria na miswada kuandikwa kwa kiingereza, ripoti muhimu zote kuandikwa kwa...
  4. G

    Ikulu Dar vs Ikulu Nairobi: Membe take a note

    I wish watu wa Ikulu Dar wangekuwa na guts kama hawa jamaa wa Nairobi : ............................................................................................................ What Kibaki's snub means for old Europe There is bad news for those aggrieved European diplomats whose...
  5. G

    CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

    pichani: Freeman Mbowe akiwa na dedi yake...Ed Mtei I cant see how Freeman Mbowe atakavyoweza kuja na tamko la wajumbe wa katiba zaidi ya hayo aliyoyasema mwanzilishi wa CHADEMA bwana Edwin Mtei ambaye ni baba mkwe wa Freeman Mbowe. sasa nawashauri Chadema, msipoteze muda wa kuita press...
  6. G

    Ubunge maalum/wakuteuliwa ufutwe

    Nimeshindwa kumaliza kuhesabu wako wangapi lakini mimi naona wanamaliza pesa za walipa kodi wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni wawe watu waliochaguliwa na wanancho na sio watu wanaokwenda mle kwa sababu walemavu au wanawake au wake za watu sijapioga mahesabu kila mbunge maalum anatucost how...
  7. G

    Tazama tunavyoaibika

    Na kuna mtu anakuja kukuambieni kuwa all is fine
  8. G

    William Malecela: Dissaster waiting to happen

    Nimesikiliza interview yake aliyoifanya ambayo imepostiwa michuzi blog. Inaonekana huyu yuko out of touch na maendeleo ya dunia Hoja zake kubwa ni hizi: 1. Anasema hakuna haraka ya kujiunga na Federation kwa sababu wananchi hawajaelemishwa...ni kweli kabisa lakini amesahau kuwa hili suala...
  9. G

    Home Shopping Centre: How do they do business?

    Jamani nina kontena zangu ziko China nataka kuingiza bongo sasa naambiwa kuwa nikitaka niwatumie HSC kwani sitolipa ushuru mkubwa huko TRA kwa sababu jamaa wameishikilia vilivyo TRA na Customs, sasa mnanishauriri vipi maana siku za nyuma nilisikia kuwa jamaa mambo si mazuri huko TRA. Mnasemaje...
  10. G

    Facebook & Twitter: silaha kuu za madaktari

    Nadhani wengi mmeona facebook za mgomo wa madaktari na twitter zinavyovyurumushwa kila sekunde hivi kwa serikali ambayo bado inategemea kutoa habari kupitia michuzi blog na gazeti la uhuru inawaweza kweli hawa jamaa? Naona mpaka New York Times wanapata news za mgomo wa madaktari kupitia...
  11. G

    Waziri kivuli wa Afya ajificha

    Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi? Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kipi? Kwa nini huyu waziri kivuli amekuwa na tabia za ki CCM CCM ?
  12. G

    Thwenzentuni Tanga

    Kuna safari ya wana JF kwenda kutembelea jiji la Tanga sasa mko tayari?
  13. G

    Tamko la CHADEMA/waziri kivuli juu ya mgomo wa madaktari

    Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari? Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao? Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo...
  14. G

    Tanzania Vision 2025 vs Kenya Vision 2030: Mizengo Pinda upo?

    kwanza linganisha websites: KENYA: Vision 2030 | Economic TANZANIA: THE TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025 Documents: KENYA: http://nairobi.iom.int/Country%20Information/Kenya/Vision%202030-Kenya.pdf TANZANIA: http://www.tanzania.go.tz/pdf/theTanzaniadevelopmentvision.pdf jamani sisi...
  15. G

    Mahingila wa BRELA nenda kajifunze RWANDA

    Mahingila ambaye ni bosi wa BRELA anashauriwa aende Rwanda akajifunze Kufungua kampuni Tanzania ni minimum mwezi mzima (maximum miezi 3) Kufungua kampuni Rwanda ni dakika 25 (maximum dakika 30) Ku search business name BRELA ni shilingi 30,000 (Rwanda ni free online) Ku register kampuni...
  16. G

    Mirambo Holdings Tanzania Limited

    Hii kampuni ni ya nani? shareholders wake ni akina nani? Majibu yapo BRELA lakini kama mnavyojua website haifanyikazi. Wengine wanaiita Mirambo Ltd. Sijui lipi sahihi, kuna madudu!
  17. G

    Tanzania Investment Centre (TIC) kazi imewashinda?

    Sasa hivi ni wiki nzima website yao haipatikani sasa jiulizeni wawekezaji wanapata vipi habari za uwekezaji wakati TIC wamefanya ufisadi wa kufunga website yao? http://www.tic.co.tz/ Inamaana Ole Naiko na Samuel Sita lao moja? Kama Ole naiko umeshindwa kazi kwa nini usiachie ngazi tuu tukajua...
  18. G

    Mary Nagu hebu jifunze toka kwa Balozi Mwanaidi Maajar

    Sikiliza hii interview WUWM: Lake Effect - Tuesday February 21, 2012 Lakini namwonea huruma Mwanaidi anajitahidi wee lakini hajui kama on the ground akina BRELA, NAGU na NYALANDU wanafanya kila jitihada kuwakwamisha Inawezekana vipi ku register kampuni Tanzania ikachukua mwezi mzima?
  19. G

    Kagame aje kuwapatia wanasiasa wetu semina elekezi

    Kufungua kampuni Rwanda ni Bure/FREE (ukifanya online) Wameweka muda wa kusubiri kwenye foleni maximum ni dakika 25...halafu wamepiga na hesabu hatua zako za miguu ukitembea hivyo usipate longo longo....
  20. G

    Ufisadi wa Nyalandu, Nagu na BRELA huu hapa

    Hii imetoka kwenye mtandao wa BRELA. Halafu mnasema mtawafikia RWANDA, KENYA na nchi zingine. Tanzania serikali yetu inafanya kila jitihada kurudisha watu nyuma. Kweli kwa bei hizi mtu ataanzisha kweli kampuni? Kwa nini isiwepo uniform price tuseme: ONLNE REGISTRATION Tshillings 10,000...
Back
Top Bottom