Projection with what degree of confident...it should be 99% and above ..below 95% hutangazi mshindi .
Unaweza fanya hii hesabu...wapiga kura wako 100 mpinzani wako kapata kura 60 na kura hazijamaliza kuhesabiwa utabisha ujashindwa mpaka kura zote zihesabiwe..usijitoe wazimu bana.
Watu na career...
Nilisema mim jana kuwa kama uchunguzi unaonyesha uko tight na big margin of error it lead to projection to be below 95 degree of confident ..you cant call who is winning. Strong feeling za PA ziko wapi sasa?
Yeyote anaweza shinda it is a dead heat ...otherwise ni ramli tupu...tusubilia FL and...
Anyone do polls analysis for living?
Statistics/probability studies there is no true population ...we work on samples to predict ...
Ktk kipindi kama hiki ambapo polls ziko so close with a big margin of error... projection turn to more ramli than calculation .
Ni kuacha siku ifike u deal na...
Yeyote mwenye uelewa na Massachusetts nearby Framingham (zip code 017101) .
Ningependa kujua hotel karibu na eneo hili ,niona baadhi ila wenyeji wanaweza kujua bora zaidi na for good deal.
Actual ningependa ku spend as less as possible for hotel or motel.
Please guyz help me out ,natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.