Search results

  1. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  2. kibarango

    Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

    Waasi hao walalamika kuwa Bwana Eric Nkuba alikamatwa katika uwanja wa JK International Airport Dar es Salaam. Mamalaka za Tanzania zilimkabidhi jamaa huyo kwa mamlaka za DRC na huko jamaa kashughulikiwa vibaya na kutema siri zote za waasi hao. Pia ametaja Rais Msitafu J. kabila ni mfadhili wa...
  3. kibarango

    DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

    Kwa mjibu wa gazeti la Le Monde la huko Ufaransa linataja Jeshi la Rwanda RDF kuingiza vifaa vya kutungua ndege na drone kusaidi waasi wa M23. Ikumbukwe kwa sasa wanakabiliana na majeshi ya Kongo na SADC na sehemu kubwa ya jeshi la nchi kavu la SADC likiwa na askari toka Tanzania hii kwangu...
  4. kibarango

    James Kabarege na team ya Rwanda wako Zanzibar siku 5 kabla ya Mapinduzi day

    Leo nimemuona Rais wa Rwanda akiwasili Mapinduzi Day Zanzibar. Siku tano nyuma kwenye match ya football niliona Waziri na Mkuu wa majeshi msitafu wa Rwanda Bw James akiwa uwanjani Amani Stadium akifuatilia Match ya APR Vs Mlandege na ile ya Simba Vs Singida BS. Kunusa nusa nikabaini Rwanda...
  5. kibarango

    Stand tano Bora za mabasi Tz

    Kwa uzoefu wangu. 1. Magufuli Dar Es Salaam 2. Nyegezi Mwanza 3. Dodoma 4. Nyamuhongolo Mwanza 5. Msamvu Morogoro.
  6. kibarango

    Mataifa yanayoongoza kwa kiwango kikubwa cha Talaka duniani

    Kupitia jarida la World of Statistics limetoa takwimu zinazoonyesha mataifa yenye kiwago kidogo zaiodi cha Talaka kwa wanandoa na pia mataifa yenye kiwago kikubwa cha Talaka kwa wana ndoa, Taifa lenye kiwango kidogo zaidi kwa Talaka kwa mwaka ni India likiwa na asilimia 1 tu ya kiwango cha...
  7. kibarango

    Nashukuru Rais Kagame anaigopa Tanzania

    Juzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani. Bw. Kagame ametaja nchi jirani zilizopewa ardhi Ardhi ya dola ya Rwanda ya kale ni DRC, Uganda na Burundi. Kati ya nchi...
  8. kibarango

    Kishansa: Rais wa Ufaransa Bw Macron almanusura achapwe kofi live na Rais Tchisekedi

    Hii imetokea leo jijini Kishansa baada ya Macron kusema DRC imekua dhaifu na kushindwa kuimarisha serikali na jeshi lake. Hivyo waasi wamekuwa wakitumia usdhaifu huo kuihujumu DRC. Hasa maeneoya Mashariki Ndipo Mwamba Magufuli wa DRC shujaa FATCHI yaani Felix Etienne Tchisekedi Tchilombo Wa...
  9. kibarango

    Tanzania and Kenya the last Victim of Kivu Republic plan

    Kinachoendelea katika majimbo ya Kivu na Ituri huko DRC ni mpango wa muda mrefu wa kuanzisha Jamhuri ya Kivu ambapo maslahi ya Tusti yatalindwa. Mpango mkuu unatajwa ni kuwa na sauti kuu ya kutawala na kuamrisha mataifa yote ya maziwa makuu. Rwanda ndiyo Moyo wa Tusti kingdom. Kagame anajiona...
  10. kibarango

    Nini Mission ya KDF Huko Kivu DRC

    Hadi Sasa haileweki KDF wako DRC kufanya Nini maana Sasa ni miezi imeenda wapo wanazurura tu. Hili jeshi Lina sound kweli. Halijarusha hata jiwe kwa uelekeo wowote. Gen Nyangah anazurula tu na mkongojo wake. Mapigano yanaendelea kila Leo wao wanasubiri M23 iwakabidhi maeneo kwa mazungumzo...
  11. kibarango

    Rwanda yaishambulia ndege ya kivita ya DR Congo

    Ndege vita aina ya Sukhoi 25 ya DRC imeshambuliwa kwa missile direct from Rwanda. Ndege hii ilikua ndani ya anga ya DRC ikizunguka mjini Goma. Bahati mbaya ama nzuri wakati wakishambulia kuna raia karekodi akiwa mpakani. Amerekodi louching site za Rwanda. Ndege hiyo imefanikiwa kutua salama...
  12. kibarango

    Uchaguzi 2020 Yeremia K Maganja Mgombea Urais kwa NCCR Mageuzi kuchukua fomu leo 11.08.2020

    Ndugu Watanzania hasa wa Dodoma Mjini. Chama kinachorudi upya kwa kasi NCCR Mageuzi, mgombea wake wa Urais wa JMT Bw Yeremia Kulwa Maganja atachukua fomu leo tarehe 11.08.2020. Bwa. Maganja akiongozana na mgombea mweza Bwa. Ambari, viongozi waandamizi na watendaji wa makao makuu ya NCCR...
  13. kibarango

    DC Kishapu ashindwa kununua Viongozi aamua kuwafuta kwa maguvu

    Ni hapa Maganzo wilayani Kishapu. Mkoa Wa Shinyanga. Kwa takiribani mwezi mmoja, DC Kishapu Bi Nyabaganga Talaba kwa Mashirikiano na RC Shinyanga. Amekuwa akiwanyanyasa viongozi Wa kijiji cha Maganzo ambao walipatikana kwa ticket ya CHADEMA. Viongozi hao wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bw...
  14. kibarango

    DC Kahama amwonea vikali mwenyekiti wa mtaa CHADEMA

    Leo tarehe 03/05/2017 majira saa tatu asubuhi. Mwenyekiti Wa Mtaa wa Mhongolo bw Emanuel Nangale ( CHADEMA) Hapa Kahama mjini kawekwa kizuizini kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Kahama Bw Fadhil Nkulu. Baada ya kufutilia kosa alilolifanya mwenyekiti huyo nimesikitika sana. Kwa kifupi Mkuu wa...
Back
Top Bottom