Magu pamoja na kwamba alikuwa dikteta lakini watoto wake walikuwa nje na system kabisa mpaka leo Joseph yupo wapi? na tulikuja kumfahamu siku ya msiba pekee.
Huwezi kusema hakuna upinzania na wakati Lisu na team yake kila siku wanashambulia na CCM wanafanya ziara ambazo hata wao hawajui wanafanya ajili ya nani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.