Search results

  1. Kottler Masoko

    Livingstone Lusinde (Kibajaji), uligusa pabaya. Imekuwa vyema umejua na kukaa kimya!

    😂😂😂🤣🤣🤣 NIGUSE NINUKE IMEMTULIZA.
  2. Kottler Masoko

    TV STAR X INCHI 43 @ TZS 60,0000-MWANZA

    Yes, Star-X 43LF640V 43-Inch Full HD Smart LED TV
  3. Kottler Masoko

    TV STAR X INCHI 43 @ TZS 60,0000-MWANZA

    Zilinunuliwa Mwezi wa April, 2019. almost mpya kabisa.
  4. Kottler Masoko

    TV STAR X INCHI 43 @ TZS 60,0000-MWANZA

    TV 3pcs MODEL: STAR X SIZE: 43'' PRICE: TZS 600,OOO each. LOCATION: KENYATTA RD, MWANZA. CALL 0655736765. also WHATSAPP
  5. Kottler Masoko

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Auditors tangu lini wakakagua stores?? wamekagua documents wameona hakuna usahihi basi hakuna ubishi mzigo umepigwa.
  6. Kottler Masoko

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Vijana wasomi wa Bunda fursa hii 2020 kule Mwibara maana barabara ya Kisorya bado hata lami hajawamalizia miaka 5 imeisha tayari.
  7. Kottler Masoko

    Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    Kwa mtu mwenyewe ni wa zama hizo za giza so unategeme nini zaidi ya kutoa ushauri wa akili za zama hizo?
  8. Kottler Masoko

    Ndege za ATCL zaanza kuhujumiwa na wafanyakazi. Waziri atoa onyo

    I think the problem comes from way long during staff recruitment process for most of public entities, most are GPA au kamlete/vimemo based recruitment and while disregard TALENT based recruitment, unaanzisha vipi huduma za ndege karne hii huna digital platforms za kukupatia wateja na mapato ya...
  9. Kottler Masoko

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) na visimbuzi vya Zuku, Azam na Dstv

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Miezi zaidi ya miwili iliyopita,mlikusanya maoni ya sisi Wadau/Wananchi wanyonge kabisa kupitia barua pepe na barua za kawaida juu ya namna ambavyo Makampuni yanayomiliki visimbusi vya Zuku,Azam na Dstv yalivyokuwa yanatutoza tozo za kila mwezi kwenye...
  10. Kottler Masoko

    Matumizi sahihi ya Home theatre Nyumbani

    Kuna mnyama anaitwa Technics alikuwepo home miaka ya 2000 huko, ni hatari kwa Hi-Fi. umeme wa dowans na richmond ulituulia mnyama wetu mpaka leo sijawahi ona madukani bongo. Yaani kila mziki unaona mzuri tu hadi bolingo dadek.
  11. Kottler Masoko

    Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

    Foleni za Tazara itabakia historia, maana mida ya kuanzia saa 11 jion ilikua balaa.
  12. Kottler Masoko

    Utalii katika kisiwa cha Mafia

    KISIWA CHA MAFIA: NAMBA SITA DUNIANI, NAMBA MBILI AFRIKA. Na Juma Salum Licha ya kasoro zao ambazo kila jamii ina za kwake, kuna jambo moja zuri binafsi nalipenda kuhusu ndugu zetu wachaga toka mkoa wa Kilimanjaro, sio kiwango cha utajiri wao, si idadi kubwa ya shule, sio kina Manka wala si...
  13. Kottler Masoko

    Vodacom yasitisha huduma ya Luku, Halotel kujiunga leo

    KAMISHENI INAPUNGUA KWA MAWAKALA, leseni watalipa na nini? au ukilipa leseni pesa haifiki hazina? Ku-centralize si vibaya sasa kwasababu inakua chini ya serikali basi mawakala ambao wengi ni Wananchi Wa Hali Ya Chini wangeangaliwa kwa jicho la tatu, unapowakaba then unakaba income hadi ya mama...
  14. Kottler Masoko

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba(NHC), Blandina Nyoni na bodi yake yote

    ACHUNGUZWE KWA KWELI HUYU MAMA, TANGU KAONDOKA WIZARA YA AFYA BOTH MEDA NA PSI WAMEPOTEA KABISA.
  15. Kottler Masoko

    Maduka 95 ya FOREX yafungwa kwa kushindwa kuendana na masharti mapya ya BoT

    Sasa hapo fursa zitabakia kwa Wahindi kumiliki maduka ya change...Ahh!
  16. Kottler Masoko

    Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Member states that voted in favour of the resolution A: Afghanistan, Albania, Algeria, Andorra, Angola, Armenia, Austria, Azerbaijan B: Bahrain, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belgium, Belize, Bolivia, Botswana, Brazil, Brunei, Bulgaria, Burkina Faso, Burundi C: Cabo Verde, Cambodia, Chad...
  17. Kottler Masoko

    Kesi mahakama ya mwanzo kinondoni

    Wadau wanasheria, mdogo wangu ana kesi mahakama ya kinondoni na yupo nje kwa dhamana, siku za karibuni ameugua na akashindwa kuhudhuria mara mbili mahakamani na alimtuma mdhamini wake aende kutoa taarifa. leo imekuja summons ikitaka wadhamini waende na mtuhumiwa mahakamani, na summons...
  18. Kottler Masoko

    Huu ni wizi-relen consultants

    Hawa Relen Consultants wamewatumia vijana wangu kama watatu hii email, HUU NI WIZI na nimeshareport kwa Polisi Central. KAMA UNA JAMAA YAKO MWAMBIE HAWA NI WEZI. NAOMBA WATU WA BRELA PIA WAFUATILIE HIZI KAMPUNI UCHWARA ZIFUNGIWE. Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the...
  19. Kottler Masoko

    Orodha ya mashirika ambayo graduates wengi wa tanzania hutamani kuajiriwa.

    Inamaana kama siyo mchaga? Wamarangu japo najua kwao ni CRDB.
Back
Top Bottom