Kutoa ni nini na unatoa nini? Je, kujenga kanisa au msikiti na kumtunza yatima kipi ni bora?
Uzuri wa majengo ya msikiti au kanisa na uthabiti wa moyo katika imani kipi ni bora?
Vipi, uhafifu wa majengo na utoaji wa imani inayoshutumiwa kunaifanya imani hiyo iporomoke au iimarike? Vipi imani...
Ungefahamu kwa nini Mbowe alimshukuru Zitto na ndiye mtu aliyeonana nae mwanzo baada ya kutoka gerezani kabla hata hajaonana na viongozi wa CDM ungejua kwa hakika nini kilifanyika
Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake!
Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
Mabadiliko sio dhambi, ni vipindi tu vya Mungu. 1977 isingekuwa rahisi kuwa na mbunge shoga ambaye video yake akishughulikiwa itambe halafu chama kibaki nae na mpaka leo adumu akikisemea chama akiwa kaolewa ughaibuni. Lakini sasa imewezekana.
Isingekuwa rahisi, ulaya hata Marekani, nini...
Watanzania kabisa? Wamchague Lissu awe Rais, aaaah, jamani, tuwe serious kidogo, hata kama tunawaona watz ni mazuzu, lakini si kwa kiasi hicho!!! Khaaaaa
Maisha ya mwaka 1977, sio maisha ya leo. Mahitaji, changamoto na hata tekinolojia ni tofauti. Ulimwengu unabadilika hivyo, yafaa kubadilika kuendana nayo
Kwani kamati kuu inakaa lini kujadili rufaa za wake zao, wale wabunge 19 wanaowalisha? Itaweza kweli kuwafukuza wakati wale ndio ma bread winners wa kamati kuu kwa Sasa?
Hivi Joyce Mukya yupo? Sijamsikia kwenda kutembelea mahabusu na watoto wake!!
Kwanza fahamu, awamu si neno rasmi katika medani za kiutawala wa nchi. Ni neno la wana CCM kueleza ni hatamu ya uongozi wa nani katika chama chao.
Uchaguzi wa Tanzania hauweki awamu, unaweka idadi tu ya uchaguzi.
Huwezi kujadili jambo bila ya kufahamu misingi au taratibu ya jambo hilo...
Hakuna jipya chini ya jua! Watu masikini Duniani bado tunaendelea kuwa mifugo ya nchi tajiri.
Wanatufuga na kutufanya watakacho wao. Hilo si jambo baya angalau.
Jambo baya kuliko ni watu masikini kutofahamu kuwa wao ni mifugo ifugwayo!
Jambo la msingi ni kujitoa katika dunia waliyokutengenezea. Unaweza kujiona unajua kumbe umetengenezwa uwe hivyo. Kama hujui umeshakuwa enslaved utaanzia wapi?
Kitabu gani cha historia? Uzuri vitabu vina majina na mchapaji wake vitaje? Baba yake Freeman ametajwa kwa jina gani hata tukisoma hivyo vitabu tuweze kumfahamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.