Search results

  1. J

    Makonda anafanya kila jitihada kuikoa CCM na amegundua Watanzania wa Leo siyo wa jana lakini viongozi Wengine wako Usingizini!

    Kichwa cha thread kinajieleza Ukifuatilia utendaji wa Makonda kwa sasa utatambua Kuwa ameujua Ukweli Watanzania hadi vijijini wameshaamka ila bado Watu wa DSM ndio wamekariri maisha ya Uchawa Makonda atarudi kuiongoza CCM muda si mrefu Ili Chama kipate Mtu wa kumkabili Ni Yeye, mwenyekiti...
  2. J

    Balozi wa Marekani: Ni dhambi na aibu kuchukua rasilimali za Nchi nyingine

    Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha zote za Rasilimali hizo nje ya nchi Yako halafu iseme inakutendea Wema. Source Jambo TV
  3. J

    RC Makonda aagiza Takukuru kumkamata DED na Watendaji wake wanaotuhumiwa kwa Ufisadi wa tsh million 19 mara Moja na wasirudi Ofisini!

    Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC Makonda amepiga Marufuku tabia ya maafisa wa TRA kupeleka Demand Notice za madai ya Kodi wakiwa...
  4. J

    Kama hatuwezi kuwa na Serikali Moja basi Sera ya Chadema ya Majimbo itaimarisha sana Muungano

    Ni ushauri tu kwa sababu kwa Sera za Chadema na hata sera za madhehebu fulani ya Wagalatia Zanzibar ni Jimbo Muungano wa Kweli ni Ule wa Serikali 1 tukishindwa tuitafakari sera ya Chadema Zanzibar ni Jimbo la KKKT wakiwa DMP Zanzibar ni Jimbo la Anglican church nk nk na wanaokwenda vizuri tu...
  5. J

    Mwita Waitara acharuka Bungeni asema Kama kuna Masharti ya Ushoga hatutaki Misaada yao mura!

    Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki Mwita Waitara alionekana ni mwenye hasira kali sana kiasi kwamba Mbunge wa pembeni yake alikuwa anatetemeka TBC
  6. J

    Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  7. J

    Tundu Lissu: Nimekabidhiwa gari bila plate number ila nimepenyezewa Taarifa kuna mtu anatumia namba za gari yangu iliyoshambuliwa!

    Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu mwingine Credit: Hilda Newton X ==== Mdude: "Lissu amekabidhiwa plate namba za gari yake ikiwa na...
  8. J

    Baada ya Punda kujaa matundu ya Risasi Wananchi wataka kumnunulia Tundu Lisu " Mwanapunda" wa kuingia naye Yerusalem!

    Mara nyingi kwenye Bible utakuta imeandikwa " Ili andiko la Nabii fulani litimie" Ngoja tuone Kiroho Zaidi Nawatakieni Sabato njema 😀😀
  9. J

    Kwanini Bajeti za Wizara mbalimbali zimepungua ikilinganishwa na Mwaka uliopita? Au vipaumbele vimebadilika ama tunabana Matumizi?!

    Ukifuatilia bajeti mbalimbali za Wizara zetu utagundua ziko pungufu ukilinganisha na mwaka jana Unadhani ni Kwanini? Wenzetu Kenya Naibu Rais Gachagua kajipangia bajeti ya mabilioni kununua magari na kukarabati makazi yake huku makazi ya Wananchi yakisombwa na mafuriko, duniani ni Ubatili...
  10. J

    Nampongeza Nape kwa kuleta technology ya AI bungeni, kituo kifuatacho Wabunge Viti Maalum na CHAWA wawe Robot tupunguze gharama!

    Kimsingi Wabunge wa Viti maalum kazi yao kubwa ni kupiga makofi na kutoa sauti kubwa ya " NDIO" wakati wa kupitisha vifungu na kazi hii inaweza kufanywa kwa Ufanisi na Robot kwa sababu atakuwepo bungeni muda wote Pili badala ya kualika CHAWA bungeni ambao Spika hutumia muda mwingi wa Walipakodi...
  11. J

    Godbless Lema aja na Robot aitwaye Chloe ambaye Majukumu yake ni Kukaribisha Wageni kama yule Eunice wa Bungeni

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Wananchi kumlinganisha Robot Eunice wa bungeni na Robot wake aitwaye Chloe ambaye Kazi yake ni kumkaribisha Robot wa Chadema or sorry Lema yuko Ukurasani X kwa mh Godbless Lema Nawatakieni Sabato Njema 😃
  12. J

    Prof Lipumba: Tusikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli, Udikteta ni mzuri lakini Unachelewesha Maendeleo!

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amewataka Watanzania kamwe wasikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli aliyewanyoosha kwa kuzuia mikutano ya kidemokrasia Kuna watu wanasema udikteta ni mazuri lakini Mimi nasema unachelewesha Maendeleo, amesisitiza Lipumba Kumbukeni bakora za Magufuli...
  13. J

    Mbowe: Wapigakura wanachagua kiongozi wanayemtaka Mifumo inaamua Vinginevyo kuinufaisha CCM hivyo Viongozi wanakosa KIBALI cha Mungu Katika Kutawala!

    Mwenyekiti wa Chadema amesema Chadema haioni faida ya Demokrasia Wapigakura wanachagua Viongozi wanaowataka lakini mifumo inaamua vinginevyo kwahiyo Viongozi hawana KIBALI cha Mungu Katika kutawala, amesema Mbowe Nilipotoka Jela kwa kesi ya Ugaidi nilikutana na Rais Samia na akaniambia kama...
  14. J

    Ni kweli Robot hana Uchawa, hana Upendeleo na Hapokei Rushwa lakini anauwa Fursa za Ajira!

    Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani Faida zake na hasara zake Dr Slaa angeweza kuuliza Robot ni asset au liability? Jumaa Mubarak 😃😃🌟
  15. J

    Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

    Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za Tanzania lakini tumewarejesha Naye Rais Museveni amemwambia Rais Ruto kwamba anafurahi mgogoro...
  16. J

    Fatma Karume amshukia Spika Tulia kwa kutomchukulia hatua Dr Musukuma baada ya kutumia degrading language kwa Wanawake!

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amehoji Kwanini Spika Dr Tulia hakumchukulia hatua mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma aliyewadhalilisha Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla Karume amelalamika Ukurasani X
  17. J

    Watu wanajadili Mahojiano ya Upendo Peneza badala ya kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama

    Nenda mitandao Yote utamkuta Upendo Peneza Ndio anajadiliwa LAKINI Leo kuna Hotuba muhimu sana ya Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama ila wadau hawajaichangamkia Naomba Wakuu hapa JF tuelekeze akili zetu bungeni Ahsanteni sana 🐼
  18. J

    Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni Sawa na kuipromoti Chadema Bila kujua!

    Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini Mtanishukuru baadae 🐼
  19. J

    Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Tanganyika!

    Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa...
  20. J

    Mbunge wa Zanzibar kudai Mbowe na Kikundi chake( siyo Chadema) wanataka kuvunja muungano siyo Jambo zuri ikizingatiwa Nafasi ya Mbowe kwenye Jamii!

    Ni Kauli nzito sana Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie Muungano ni Tunu ya Taifa Mlale unono!
Back
Top Bottom