Search results

  1. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nashkuru kiongozi, Allah akubariki sana
  2. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nashkuru mkuu kwa sapot yako pia
  3. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ilichozidi kweny smart ni kukuwezesha kutumia na mambo ya internet tu (kukuwezesha kutumia youtube, netflix, screen mirring, etc)kweny tv yako, hakuna chengne
  4. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Samsung smart 65" Brand new Price: 1.7m 0777650286
  5. Abdulwahid

    Jirani mkorofi, anafugia ng'ombe kwenye ukuta wangu

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  6. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Samsung smart 4k Curved tv Size 40" Secondhand (UK) Good condition Price: 450000/- tu 0777650286
  7. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Sony bravia smart TV 32" Second hand (UK) Price: 250000 tu 0777650286
  8. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Imewekewa screen guard kuzuia kioo cha ndan kisivunjike kirahis
  9. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hiyo tukishauza ila ipo nyengn kama hiyo
  10. Abdulwahid

    Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

    Iwe hivo, sio kwa kigezo cha kupigiwa kura na wananchi, nchi hii CCM wakisimamisha mgombea jiwe, basi jewe litatangazwa ndo limeshinda
  11. Abdulwahid

    Rais atakaefuata baada Rais Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba

    Toka lini nchi hii Rais akachagiwa na wananchi? Akishapitishwa na CCM agombee biashara imeisha
  12. Abdulwahid

    Hii ndio pre season ya Azam Fc

    Sawa ligi haiko mbali, ngoja tuone
  13. Abdulwahid

    Hii ndio pre season ya Azam Fc

    Hana nguvu lkn anapiga Mashuti yale?
  14. Abdulwahid

    Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    Kwani hiyo bandari mmeipata jana? Miaka yote si mnayo wenyw? Mbona mmeshindwa kueka hiyo mitambo ya kisasa na teknolojia za kisasa? Leo ndo mnajiona mnauwezo baada ya kupewa mtu mwengn?
  15. Abdulwahid

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    4k ndo Zina Bluetooth sijui ww umechukua ipi
Back
Top Bottom