Search results

  1. M

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo; 1.Ni kozi ngapi zinafundishwa 2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje 3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani...
  2. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno. =====
  3. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo-

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
  4. M

    Nami niulizeni kuhusu MWESYA" Mtakasaji wa ukerewe

    Bila kupoteza muda,napenda kuelezea machache kuhusu mtu aitwaye MWESYA yaani MTAKASAJI.Inapotokea mwanamke amefiwa na mume wake,mjane huyu hataolewa tena isipokuwa tu awe ametakaswa na mtakasaji wa wakerewe yaani "Mwesya"..Inakuwaje hii? Wakerewe wana mtu anayeitwa mwesya na jamii inamjua kwa...
  5. M

    Cheque number imetoka tarehe 07/08/2014(mtumishi mpya)

    Wakuu cheque number imetoka siku ya tarehe 07.. Je nitapata mshahara mwezi huu?
  6. M

    Check no. imetoka tarehe 07/08/2014

    Habari zenu wakuu! Napenda kuuliza kwa wenye uzoefu na haya mambo! Cheque namba imetoka tarehe 07.08 ni mwajiriwa upya,je uhakika wa mshahara mwisho wa mwezi huu wa nane upo? Nawasilisha
  7. M

    K-Basili na Linex

    Hawa jamaa nawakubali sana! naomba mwenye nyimbo za k basili ''wanipa raha" na nyingine aniwekee nipakue pia mwenye wimbo wa Linex-Aifola aniwekee pia! waptrick hizi nyimbo hazipo! naomba msaada! pia kuna ka wimbo fulani '' ninachokipata nagawana na wenzangu maskini kama mimi,-------'' na huo...
  8. M

    Sekretarieti ya ajira mnatuumiza sisi vijana

    Ni bora kuwa na taarifa sahihi kuhusu mchakato wa ajira unavyoendelea kwa kila usaili unaofanyika,kwa mfano usaili wa mwezi wa sita kuanzia tarehe 14-21 walisema watatoa majibu ndani ya wiki mbili cha ajabu sasa ni mwezi umeisha wapo kimya tunaomba mtupe taarifa hata kama si ya kuitwa kazini...
  9. M

    Kama UKAWA watasusia uchaguzi mkuu 2015 wakapiga marufuku kuchukua fomu za kugombea!

    Nauliza ikitokea CCM wakapitisha katiba yao na UKAWA wakaendelea na msimamo wao mpaka 2015 na wakagoma kuchukua fomu za kuwania urais na ubunge! Je taifa litakuwa katika hali gani au uchaguzi utaahirishwa mpaka waelewane? nauliza ndugu zangu wanasiasa
  10. M

    Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi?

    Baba umekuja! Leo Robert atalala wapi? Nimetoka kumpokea rafiki yangu bwana mtumishi wa kampuni kubwa ya madini hapa nchini..alikuwa safarini nchini Canada kikazi muda wa siku 34! tumefika nyumbani kwake tumebeba mizigo na zawadi kedekede kwa mkewe ambaye ni mwalimu wa s/msingi hapa jijini...
  11. M

    Kuwa na Kunguni kitandani ni dalili ya utajiri

    Kuna mjomba wangu kamkuta mke wangu amenunua dawa ya kuangamiza kunguni! mke wangu yupo kwa mjomba siku ya pili sasa tangu afike hajawahi kulala akasinzia! Kunguni ni wengi hadi mchana kweupe wanatembea! basi kuona vile mke wangu kaanza usafi wa nguvu.....kadeki nyumba zote na kutoa nje...
  12. M

    Mkopo wa Gari

    Ni mfanyakazi analipwa laki sita na ushee kwa mwezi wizara ya TAMISEMI anaomba kama kuna watu wanakopesha magari kwa wafanyakazi malipo ni makato kwa mwezi kwenye mshahara! naomba majibu na ufafanuzi mwingine kama upo
  13. M

    Mkopo wa milioni 10

    Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania! anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki yoyote japokuwa mshahara wake unapitia NMB,kama nilivyosema ana miezi miwili tu kwenye utumishi! je anaweza kupata...
  14. M

    Anauliza kuhusu mkopo benki

    Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania! anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki yoyote japokuwa mshahara wake unapitia NMB,kama nilivyosema ana miezi miwili tu kwenye utumishi! je anaweza kupata kiasi...
  15. M

    Kuitwa kazini utumishi usaili wa tarehe 14-21 June

    Kwa wale tuliofanya usaili tarehe 14 hadi 21 june lini watatoa majibu? Walisema ndani ya wiki mbili sasa muda ushapita na naona wale waliofanya tarehe 06 hadi 12 june tayari wameitwa...Afisa tarafa na afisa tawala zinanihusu.
  16. M

    KATAVI- Kituo kipya cha kazi! naombeni ushauri

    Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS...
  17. M

    Kuitwa kazini, usaili wa mwezi Juni

    Wanajamvi! nauliza huwa inachukua muda gani mpaka majibu ya usaili kutoka mfano usaili ulioisha jana tarehe 21 sekretarieti ya ajira!
  18. M

    Biashara ya Mpesa na Airtel Money kwa mtaji wa Milioni 4

    wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata kulingana na mtaji huo...Nawasilisha
  19. M

    Msaada "Standing order for the public service 2009"

    Heshima kwenu wakuu...Naomba msaada wa hii document kwa yeyote aliye nayo' nimetafuta website ya utumishi naona ni kama waliiondoa..Naihitaji sana wapendwa! Heshima kwenu
  20. M

    Msaada "Standing order for the public service 2009"

    Naomba wakuu wangu yeyote mwenye hii document anisaidie! Naomba sana kwa yeyote aliye nayo...HESHIMA KWENU
Back
Top Bottom