Search results

  1. MKUNGA

    Ajali mabasi ya Hai na Al Saedy Chalinze

    Nimepita Chalinze asubuhi hii bus la Hai limeligonga bus la Al Saedy kwa nyuma,abiria wapo stranded pale kama km 3 kutoka Chalinze mjini. Inasemekana chanzo ni tabia ya madereva wa mabasi kutokeep distance. Ajali hizi zitatumaliza kwa kweli. Sheria zibadilike madereva kama hawa waozee jela.
  2. MKUNGA

    Sumry T.888 BWK. Abiria tumetelekezwa Makambako

    Wakuu,tumepanda bus la Sumry kuja Dar, limeharibika hapa nje ya Makambako toka saa 3 asubuhi, hawataki kuturudishia nauli,wametuahidi kutuletea bus jingine tokaMbeya wanatudanganya lipo karibu na halifiki. Hivi hii kampuni inapata wapi kiburi cha kunyanyasa watanzania? My take: Haya...
  3. MKUNGA

    Wakili maarufu wa 'epa' afariki ghafla

    Wakuu, Kwa masikitiko makubwa naleta hii jamvini. MKURUGENZI Msaidizi wa ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, Stanslaus Boniface Makulilo (44) ‘Jembe’ amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashitaka nchini(DPP)...
  4. MKUNGA

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Habari bandugu Kuna yeyote mwenye ushuhuda wa ubora wa huduma za FOREPLAN HERBAL CLINIC & NATURAL THERAPIES ipo pale Ilala Bungoni al maaruf kwa Dr. Mwaka. Anatoa tiba mbadala kwa matatizo ya uzazi na magonjwa ya kinamama. Mwenye info zaidi anijuze kabla hatujamake decision ya kwenda au la.
  5. MKUNGA

    Ukanjanja? Mwanahabari aitukana mahakama

    Ni kutokana na hukumu yake katika kesi ya mwandishi huyo dhidi a msanii Diamond. Mwandishi huyo alishitaki kesi ya jinai kwamba amepigwa na Diamond pamoja na wenzake. Katika hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Bomani Iringa mjini imemtia hatiani Diamond na wenzie na kuwahukumu waende jela miezi 6 au...
  6. MKUNGA

    Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI SALAM, Hivi, nini chanzo cha kutapika safarini kwa watoto na watu wazima? Jee kuna kinga ama kinga yoyote? Msaada tafadhali. --- --- UFAFANUZI WA KITAALAMU WA TATIZO HILI Niwengi wamekua wanasumbuliwa na hili tatizo la kutapika au...
  7. MKUNGA

    Ajira Mzumbe University

    http://www.mzumbe.ac.tz/documents/Vacancies%20-%20november,%202011.pdf Kila la heri jamani
  8. MKUNGA

    Upinzani kufa Tanzania?

    Kwa matukio machache yanatoa ishara mbaya kwa ustawi wa upinzani nchini 1. NCCR Mageuzi-sakata la kumfukuza uanachama kafulila. Hii ni sawa una jicho moja halafu unalitia mchanga. NCCR imekaa benchi mda mrefu bila kuwa na mbunge leo hii mpasuko huu wa kufukuzana ndio unaimalizia NCCR kbs...
  9. MKUNGA

    Shubiri,tiba ya tumbo

    wadau, naomba msaadajuu ya dawa chungu (huenda kuliko zote) shubiri. Jee dawa hii inatibu tumbo kwa watoto hasa wa kiume?nimemsikia mama mmoja akisema. Msaada wenu tafadhali maana baby boy wangu huwa analia sana ila nimewapiga stop wasimpe shubiri bila medical advice. Nawasilisha.
  10. MKUNGA

    MKUNGA...the new member

    habari? nimejiunga rasmi na jamii Forums the home of great thinkers. naombeni ushirikiano.
Back
Top Bottom