Search results

  1. kilimasera

    Bileku mpasi

    KWA wapenzi wa muziki watakumbuka kuwa bendi ya Empire Bakuba ilianzishwa na watu watatu, marehemu Joseph Kabasele Yampanya 'Pepe Kalle', Papy Tex na Dilu Dilumona miaka ya 1970. Lakini, pamoja na bendi hiyo kuasisiwa na watatu hao na baadaye kupewa nguvu na Jojo Ikoma, ni vigumu kutaja...
  2. kilimasera

    Utumishi Mnaupendeleo kwa wakuu wa Idara

    Nina masikitiko makubwa sana kuona Ongezeko jipya la mishahara yaani Mkurugenzi mtendaji ana 2,800,000/= Mkuu wa Idara ana 2,750,000/= wakati mtumishi wa kawaida anayeanza kazi leo ana 567,000/= kwa waalimu wanaoanza kazi wapo juu kidogo maumivu yangu ni kwamba rate za posho mkuu wa idara...
  3. kilimasera

    kwa wapenzi wa Ulanzi WANYALUKOLO

    Ulanzi Ulanzi ni kinywaji kinachotokana na mmea ambao huota kwa wingi sehemu moja na hukua sana kwenda juu. Mimea hii ikiwa bado michanga hukatwa juu na ikishakatwa hutoa maji na kitu mithili ya povu hujaa juu ya pale palipokatwa. Maji hayo yanayotoka hukingwa kwenye kitu kiitwacho “mbeta”...
  4. kilimasera

    Uhamisho TAMISEMI 2012/13 Attached

    someni majina yenu ili mjue mnakopelekwa na kwa wale waliofoji barua tumeshawagundua fuateni taratibu mie nafurahi nimetolewa kijijini napelekwa mjini A town
  5. kilimasera

    kata kiuno yako!

    Maasai mmoja aliingia club kucheza muziki,mara Dj akaanza kusema,"Kata kiuno.....kata kiuno wewee!!" Maasai kusikia hivyo akachomoa panga. Mswahili flani karibu yake akamuuliza,"We vipi,mbona unatoa panga kwa dancefloor?" Maasai akajibu "Ero redio nasema kata kiuno kwa hivyo mimi naansa...
  6. kilimasera

    ameenda mtoni kunywa maji!!"

    Ticha alitoa assignment;wanafunzi wachore ng'ombe anakula nyasi,kwenye karatasi nyeupe. Kesho yake akaanza kuzunguka darasani akiangalia vile wanafunzi walivyochora. Akafika kwa dogo mmoja akapata karatasi bado nyeupe hajachora kitu; Ticha:"Mbona hujachora?" Dogo:"Sir,nimechora ng'ombe...
  7. kilimasera

    huyu dada ni MALAYA...!!!"

    Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia: Dem:"Mambo." Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?" Dem:"Nilikuwa naulizia tuh...inaonekana huyu kasuku wako ni special maana unamuuza kwa bei ghali!"...
  8. kilimasera

    baridi kwangu tafadhali!

    Jamaa flani mvutaji bangi asiyejua kizungu alikamatwa na misokoto ya bangi;akashikwa akashtakiwa na kupelekwa Mahakamani kwa hukumu. Wakati kesi inaendelea kukatokea vurugu mahakamani,Hakimu akasema kwa kizungu ili kuwe na utulivu...Order! Order....Order...!!" Jamaa kusikia hivyo akajibu kwa...
  9. kilimasera

    .Nasikia kizunguzungu

    Classic:- Direct translation from swahili to english 1.wacha mchezo-Leave sports 2.Mimi si mtu hivi hivi-Am not a person like this like this 3.Siku moja nitakutembelea-One day i will walk on you 4.Wewe ni kiboko yao-You are hippopotamus of them 5.Nasikia kizunguzungu-Am fealing english...
  10. kilimasera

    Jamaa watatu

    Jamaa watatu walishinda pesa,walipozigawa wakaamua kila mmoja wao atoe kiasi flani kama sadaka. Jamaa wa kwanza Wafula akasema:"Mimi nitachora duara,nisimame katikati nirushe pesa juu...zitakazoingia ndani ya duara ni zangu,zitakazobaki nje nitatoa sadaka. Jamaa wa pili Mutua akasema:"Mimi...
  11. kilimasera

    Wilaya ya Tunduru hali si shwari

    Na Steven Augustino,Tunduru IMEELEZWA kuwa Serikali isipochukua hatua za makusudi kuzuia na kutuliza vitendo vya uchomaji wa mabanda ya Nguruwe,kuharibu mali za watu pamoja na kuchoma moto nyumba vinavyo endelea kwa siku tano mfululizo huenda wimbo wa amani na utulivu ambao umekuwa ukiimbwa kila...
  12. kilimasera

    Ashindwa Kutongoza Mademu

    Kijana mwenye umri wa miaka 20 wa nchini Marekani ambaye alikuwa akilalamika kuwa anashindwa kumwaga sera za kuwavutia mabinti, aliamua kumpiga nyundo ya kichwa bibi yake ili apunguze haja zake za kimapenzi. Samuel Dye alimfuata bibi yake na kuanza kulalamika kuwa ameshindwa kabisa kutongoza...
  13. kilimasera

    Afikishwa Mahakamani kwa Kufanya Ngono na Mbwa

    Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao. Mwanamke mmoja mkazi wa Pretoria nchini Afrika Kusini amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za ukatili kwa wanyama...
  14. kilimasera

    Airtel Internet yenu Haieleweki

    Airtel tunashangaa mmebadilika ghafla kwenye vifurushi vyenu hata bila taarifa yeyote ni kwamba zamani mlikua mnatupa mb 400 kwa sh 2500 kwa kuandika neno internet kwenda namba 15444 ila kuanzia sasa huduma hiyo siipati kabisa na nikituma hiyo meseji inanigomea sasa sijui kunani?bora...
  15. kilimasera

    Nina tatizo hili la kiutumishi wa UMMA naomba msaada kujuzwa

    Wanajamvi naomba kujua vigezo vya uteuzi wa wakuu wa idara katika hizi halmashauri za wilaya ni kwamba wengine wanasema mpaka uwe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 7 kwa idara moja tu yaani ile unayoifanyia kazi na wengine wanasema mpaka uwe na uzoefu wa miaka 7 katika utumishi wa UMMA haijalishi...
  16. kilimasera

    mwalimu ni mtu muhimu sana

    Ndugu zangu, UALIMU si tu kazi ya wito, ni kazi ya utu . Katika nchi yeyote ile yenye dhamira ya kweli ya kusonga mbele, mwalimu ni mtu muhimu sana. Ni busara kwa Serikali yeyote iwayo, kufanya kila linalowezekana kuepuka kuingia kwenye mgogoro na walimu. Maana, ualimu una maana zaidi ya kazi...
  17. kilimasera

    Wanaobakwa wasioge, wasibadili nguo

    CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewatahadhalisha Wanawake watakaobakwa kutooga au kubadilisha nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi wa kumtia hatiani Mtuhumiwa. Taarifa iliyoandaliwa na Tamwa kupitia Mtandao wake wa kijamii zinasema, Madaktari nchini wameshauri...
  18. kilimasera

    Muuaji azirai baada ya hukumu

    MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Musimihi, Tarafa ya Ilongero, Wilaya ya Singida, Juliana Ibrahim (52), ameanguka kizimbani na kisha kupoteza fahamu baada ya kuhukumiwa yeye na mtoto wake kutumikia miaka mitatu jela kila mmoja. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inayoendelea na vikao vyake mjini hapa...
  19. kilimasera

    ushuzi

    Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya pumzi, utumbo utakuja kumtoka. Jamaa alicheka sana kusikia hilo. Siku moja mke alilazimika kuamka alfajiri awatengeze kuku...
  20. kilimasera

    Mgomo wa madaktari wanukia tena

    MADAKTARI huenda wakagoma tena baada ya kikao kati ya serikali na madaktari hao kuvunjika kutokana na kutokuelewana. Hali hiyo imejidhihirisha baada ya kutokea kutoelewana baina ya wawakilishi wa madaktari hao na maofisa wa Serikali katika ofisi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Mgomo wa awali...
Back
Top Bottom