Search results

  1. K

    Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

    Kutokana na vuguvugu la IPTL linaloendelea bungeni na mahakamani, fursa ya pekee imejitokeza kwa Madame Speaker, Anna Makinda kujipatia tiketi rahisi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais akiwa na support kubwa sana ya wananchi. Shutuma zote alizonazo za kushindwa kuliongoza Bunge kwa...
  2. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa wanachokitaka kutokana na hizo serikali; ila kama wote tunalenga kuuimarisha Muungano na kuijenga Tanzania iliyo bora zaidi na yenye mshikamano...
  3. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa makundi haya yanachopigania; ila kama wote tunalenga kuuimarisha Muungano na kuijenga Tanzania iliyo bora zaidi na yenye mshikamano, nadhani sote tuko...
  4. K

    Nani wa kutukomboa?!

    Matatizo ya Nchi yetu yameongelewa kwa wingi wake na sasa imefikia hatua wananchi wanakata tamaa na kuona hawana cha kufanya juu ya yanayoendelea kutokea katika nchi yao. Hawawezi tena kukabiliana na ufisadi, hawana imani na vyombo vya ulinzi na usalama, hawana imani na wanasiasa, na sasa...
  5. K

    Elections 2010 Katiba inasema kiti cha Rais kipo wazi

    Wadau nilikuwa napitia katiba katika tovuti ya taifa (www.tanzania.go.tz) nimekutana na hiki kipengele ambacho nimekuwa interested kujua zaidi: 38.-(1) Rais atachaguliwa na wananchi kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii na kwa mujibu wa sheria itakayoweka masharti kuhusu uchaguzi wa Rais ambayo...
  6. K

    Nafasi za kazi

    Jaribu hii blogspot kazi999.blogspot.com wanajitahidi kuwa na current vacancies
  7. K

    Alielielewa Tamko la Mkullo?!

    Jana kwenye taarifa ya habari ya TBC - Habari za biashara, Mh Mkulo alisema kuanzia sasa furniture za wizara zote zitanunuliwa kutoka nchini! Sasa sikuelewa (Au inawezekana nilisikia vibaya) kwamba watu waimport na kuiuzia serikali au watengeneze na kuiuzia serikali?! Kama itakuwa ni...
  8. K

    Nafasi kibao za kazi - Tigo

    RADIO PLANNING MANAGER - TIGO JOB VACANCIES Sunday, May 30, 2010 3:06 AM Labels: Engineering , TELECOM JOBS RADIO PLANNING MANAGER Manage coverage, Capacity and quality of the network through planning and optimization activities in order to support business requirements, propose solutions...
  9. K

    Naanzisha Mapinduzi ya Kweli!

    Naomba support yenu! Let's be true patriots! Tunajua mengi sana kuhusu nchi hii, tumediscuss topic nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu. Wito kwa wanaJF wenzangu: naomba tuanze kuisambaza hii knowledge tuliyonayo kwa watu wa mitaani. Tuwaelezee yale yanayoendelea ndani ya nchi yetu...
  10. K

    Changia CCM

    Hili zoezi la kuichangia CCM bado halijaniingia akilini vizuri. Hawa jamaa ndo wamekuwepo madarakani tangia tunapata uhuru. Wametuibia kwa dizaini zote yaani hata makovu ya Richmond, mikataaba mibovu ya madini na EPA hayajaisha, wanakuja kutuomba tuwachangie warudi kutuibia tena. Hivi sisi...
  11. K

    Ben Hinn kuachana na mkewe

    Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe! Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria. Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved...
  12. K

    World Bank Scholarship 2010

    Hello everyone, If you think you qualify, please try your luck! February 22, 2010 Joint Japan/World Bank Graduate Scholarship Program In 1987, the World Bank, with funding from the Government of Japan, established the World Bank Graduate Scholarship Program (WBGSP) for graduate studies in...
  13. K

    Utengenezaji wa Sarafu(Coins) Mpya

    Nimekuwa nikiwaza kwanini BOT hawatengenezi sarafu mpya za sh 5/=, 10/=, 20/= ambazo zitakuwa ni ndogo kuliko sarafu za sh 50/= na 100/= Sarafu za sh 5/=, 10/= na 20/= zilizopo kwa sasa hazitumiki vijijini ambako kuna watanzania wengi na wengi wao ni wakulima. Kwa hyo, kwa kiasi kikubwa mfuko...
  14. K

    Big joke from TFF

    Timu ya taifa ya Tanzania inatazamia kupambana na Ivory Coast siku ya Jumatatu wakati Ivory Coast wakijiandaa kwa safari yao ya kwenda Angola kwenye mashindano ya kombe la mataifa huru ya Africa. Ivory Coast watakaa nchi kwa siku sita ambapo Jumatano watapambana na Rwanda Kwangu huu ni utani...
Back
Top Bottom