Job Title: Librarian
Position Description:
Swadiq Development Foundation which is located in Dar es Salaam is inspired to open a modern and state ort Islamic Library in Dar es Salaam and is looking for a motivated, qualified, and highly experienced Tanzanian to fill a vacancy of a Librarian in...
Shirika letu la Sadiq Foundation lenye makao yake makuu Dar es salaam linatafuta mkufunzi wa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wetu wa ulinzi.
SIFA ZA MUOMBAJI;
1. Awe Askari polisi au Mwanajeshi mstaafu mwenye uzoefu na mafunzo ya ukakamavu zaidi ya miaka 10
2. Awe hajawahi kutuhumiwa na kosa...
Asasi ya Sadiq Development foundation (SDF) Inatangaza nafasi za ajira fani zifuatazo:
1. Librarian: nafasi 2
KAZI:
Kusimamia na kuendesha library ya vitabu vya dini.
Sifa:
Awe na Diploma au Shahada ya kwanza ya fani husika. Awe anafahamu vizuri kiarabu na Kingereza. Awe na umri si zaidi ya...
Ukwepaji wa Kodi ni kosa la kijinai kama makosa mengi Tatizo katika kosa hili mkwepaji anashirikiana na watu wawili Maafisa wachache wasio waaminifu wa Mamlaka ya Mapato na Raia aliyenunua. Kama lau kila raia angetumia busara na kuhakikisha anapata risiti sahihi katika kila Mauzo tungepiga hatua...
Natoa rai kwa watawala na serekali wahangaike kuzitawala nyoyo za waislamu. Na waache kupambana na miili yao, Hakuna sehemu yoyote duniani mtawala alishinda kwa kukujilimbikizia silaha, mabomu ya machozi, Maji ya kuwasha na vikosi vya fujo ili kutawala miili ya raia wake. Punde si muda mrefu...
Mi nadhani ni mazoea tu ya wabongo kutukuzani Huko kwa wenzete hilo neno hata ni gumu kulipata translation yake. nadhani watanzania tunasumbuliwa na "Inferiority complex syndrom"
Kaka wala usipate tabu TRA inauwezo (Caspacity) ya kuwashughulikia hao watu Tatizo ni kuwa Haipati ushirikiano wa Kutosha (Rushwa ni Siri). Kwa taarifa yako na Umma ni kuwa Mamlaka ya Mapato inacho kitengo kinaitwa "Internal Affairs" Kazi yake ni Kufanya uchunguzi (Investigation) kwa Tuhuma zote...
Chokochoko zipo ukingoni Leo tumesema Na iwe basi na kweli we mean Enough, Tuwe tumesoma au tunashinda misikitini Saa itakapo fika ndio Kitajulikana...
waislamu tunaunga mkono matamko yote yaliotanguliwa
tunalaani njama za kuwagawa na kuwaziba midomo waislamu kudai haki zao.
maaskofu waache kuingilia msuala ya waislamu kama wanataka amani.
tunalaani mauaji ya mwembechai na serekali iunde tume ya uchunguzi.
tunaunga mkono mchakato wa katiba...
KIJANA HUYU AMEKUWA AKITOKWA MACHOZI YA DAMU KWA MUDA SASA WAZAZI WAKE WAMETAFUTA WATAALAMU LAKINI MADAKTARI BINGWA HAWAJUI UGONJWA HUO UNASABABISHWA NA KITU GANI.
KATIKA MAELEZO YAKE MUATHIRIKA KIJANA WA MIAKA 15 CALVINO KUTOKA JIMBO LA Tennessee, ANASEMA YEYE KASHAZOE NA WASIWASI WAKE MKUU...
Mimi huyo namba 1 nahisi kilichowavutia zaidi ni lile bango lake lilozinduliwa mwaka huu la uchaguzi mambo yake aliweka hadharani
Tizama kifua
Ndio maana sisi watanzania ni marufuku wanawake kugombea Uraisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.