Nimekua nikisisitiza kuwa ni wajibu wa serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kwakua inatoza kodi wananchi na utajiri wa nchi yao. Na ni kwa msingi huo inapotekeleza mradi wowote haipaswi kujiona inafanya muujiza au hisani.
Mtoa mada mmoja kwa jina la kalamu kaandika upotoshaji wake kwa...
Huwa sipendi kuwekewa maneno. Wapi nimemshukuru JK? Mtoa mada vizuri uweke rejea. Wapi JK aliahidi kwenye kampeni kwamba ataleta kivuko?
CCM mnaweweseka sana na Kigoma kusini. Ni wajibu wa serikali kuleta maendeleo na sio hisani; na huo ndio msimamo wangu siku zote.
JK hajawahi kuahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.