Search results

  1. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Wakuu hasa wenyeji wa njia ya Dar - Arusha, naomba kujua Bus zuri (luxury) kuliko yote na la bei kubwa kuliko yote ni lipi na ni bei gani? Kwa wenyeji wa Arusha Hoteli gani nzuri ya kati ya Tsh. 30,000 - 50,000? Natanguliza shukrani zangu.
  2. Mazingira

    Ombi kwa mheshimiwa rais Dr. Magufuli

    Mheshimiwa rais kama ambayo huwa unatoa msamaha kwa wafungwa, tunaomba utoe msamaha kwa watu waliosafiri nje ya katika miezi ya Novemba na Disemba 2015. Wako waliosafiri kabla ya tangazo halijawekwa vizuri. Wengine walidhani ni watumishi wa serikali kuu peke yake na wengine walidhani ni safari...
  3. Mazingira

    Bus zuri Dar - Dodoma

    Wakuu natarajia kusafiri kutoka DAR kwenda Dodoma. Bus gani zuri na nauli ikoje? Kwa wenyeje wa Dodoma, hoteli gani nzuri yenye bei za kuanzia 20,000 - 30,000? Natanguliza shukrani zangu.
  4. Mazingira

    Hotel nzuri Morogoro

    Wakuu Kwa wenyeji wa mji wa Morogoro naomba kujua hotel nzuri ya kati ya Tshs. 60,000 - 70,000 Kwa night mnijulishe. Kama una namba zao za simu pia nitashukuru ukiniwekea. Nimejaribu kutafuta Kwa internet hamna cha zaidi ya Morogoro Hotel, Hilux na Nashera. Natanguliza shukrani zangu.
  5. Mazingira

    Msaada wakuu: Hoteli nzuri na ya bei nafuu jijini Mbeya

    Wakuu kwa neema ya MUNGU natarajia kutembelea jiji la Mbeya na nitakuwa hapo kwa takribani majuma mawili. Kwahiyo kwa wenyeji wa jiji la Mbeya naomba msaada wa kujua Hoteli nzuri na ya bei nafuu (kati ya Tshs. 15,000 - 25,000). Pia nikijuwa na vivutio vya utalii ambako naweza kutembelea...
  6. Mazingira

    Nahitaji Vifaa vya Ujenzi

    Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani (eg za mm 8, 12 na 16). Je kweli kokoto nyeupe za mawe hazifai mpaka zile nyeusi tu za Lugoba na...
  7. Mazingira

    Msaada wakuu

    Wakuu kwa wenye uzoefu, Je mtu akiwa na Tshs. 100 milioni anaweza kujenga nyumba ya vyumba 4 ya ghorofa moja?
  8. Mazingira

    Kompyuta yangu inanisumbua

    Wakuu ninapokuwa nimeitumia Laptop yangu nikii-command kuzima inachukua hata nusu saa imeonyesha kile ki-alama cha kuwa iko busy, mpaka nalazimika kuizima kwa kui-buti. Je tatizo ni nini na nawezaje kulitatua?
  9. Mazingira

    Msaada wandugu

    Msaada wandugu. Kwa wenyeji wa Dodoma au kuujua mji wa Dodoma. Napenda kujua Hoteli za bei nafuu around 10,000/= to 25,000/=. Maeneo zilipo na Contact zao.
  10. Mazingira

    Nawatakia Summer njema

    Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia summer njema wadau wote walioko ughaibuni. Hiki ni kipindi sasa cha kufurahia hali ya hewa kama uko TZ vile. Ukipita huko mitaani sasa barbecue kwa sana. Parks na open spaces zimechafuka kwa sasa wazungu wa kike na kiume wako wanajianika juani. Kwa wale...
  11. Mazingira

    Mashine za kisasa zaibwa Muhimbili zina thamani ya Sh150 milioni

    Na Sadick Mtulya VIFAA na mashine kubwa tatu kwa ajili ya kupimia na kufanya utafiti wa magonjwa mbalimbali na mashine zingine ndogo ndogo zilizopo katika maabara maalum (SPL) ya kisasa kwenye jengo jipya lililokarabatiwa na Shirika la misaada la Japan (JICA) kwenye Hospitali ya Taifa...
  12. Mazingira

    Mashine za kisasa zaibwa Muhimbili zina thamani ya Sh150 milioni

    Na Sadick Mtulya Upotevu wa vifaa muhimu kwenye hospitali hiyo umekuwa wa kawaida kwani ni mara kadhaa - Some words Deleted-Nenda kwenye thread nyingine nyenye title hii Mods help to delete this duplicate thread
Back
Top Bottom