Search results

  1. Kitomai

    Car4Sale HOWO SINO Truck linauzwa Dar es Salaam

    2013 model. Lipo katika hali nzuri. Bei 35mil Maelewano yapo kidogo Contact: 0784225000
  2. Kitomai

    House4Sale Nyumba 3 zinauzwa kwa pamoja Buyuni, Ilala

    Zimejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1405 Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki. Nyumba zinafikika. Kiwanja kimezungushiwa uzio kwa matofali. Huduma ya umeme na maji zipo. Kila nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure na mahala pa kula. Bei 380mil. Maelewano yapo...
  3. Kitomai

    House4Sale NYUMBA YA GHOROFANI (FLAT/APARTMENT) INAUZWA UPANGA

    Ina vyumba vitatu (3) vya kulala kimoja kinachojitoshereza ( Master bedroom) vyoo viwili, ukumbi na mahala pa kula, nyumba ya kisasa ina mvoto wa ndani na nje. Jengo lina lift, genereta, gym na ulinzi 24/7 Ipo katika ghorofa ya tatu upande wa bahari. Ina Hati, Inafaa kwa matumizi ya makaazi na...
  4. Kitomai

    House4Sale Nyumba inauzwa changanyikeni 400 milioni

    inavutia, Bora na ya Kisasa. Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje ikuwa na vyumba vinne vya kulala vyote vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula. Bei Maelewano. Kuiona wasiliana nami kwa simu/whatsapp +255755312233
  5. Kitomai

    Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    •2010 Model Year With All Options of Autobiography •Recently registered no.T….EAB •Fully Paid Import and Customs Duty •Imported From UK with European standards •Grey Sapphire Color •TDV8 Diesel Engine With 3.8CC Engine Capacity •Autobiography Full Options SE Version Full Leather Seats, Stone...
  6. Kitomai

    Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    Vehicle Details. Make: Nissan Model: Patrol Model Number: JN1TESY61U Year of Manufacture:2003 Engine No:129163 Engine Capacity:2953 Fuel Used: Diesel Imported from: Great Britain (and Northern Island) Price/Bei 27Mil. Mawasiliano call/SMS/WhatsAPP 0755312233.
  7. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, sebule, mahala pa kula na ina nafasi mbele kwa ajili ya biashara. Bei Milioni 18. Maongezi yapo. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0755312233.
  8. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Haya ni maisha ya kawaida sana. Sio maisha ya anasa kama unavyoweza kufikilia sema tumechelewa sana.
  9. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Kwa mujibu wa ALEXA, JF ndio mtandao nambari moja unatembelewa na watu wengi zaidi hapa Tanzania( Hii inanganishwa na tovuti nyingine za local). hizo tano juu yale ni za kigeni. Sasa unaachaje kwa mfano kutotangaza katika tovuti kama hii!!!! Wanunuzi wa nyumba kama hizi wao wanapiga simu...
  10. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Aise nimeona sasa ninajaribu kufanya edit ya kichwa cha habari. Nikibpfya edit naweza ku edit contents lakini kichwa cha habari inashindikana naomba msaada hapo
  11. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Ni Apartment yenye ukubwa sqm 250 Ina muonekano wa kuvutia. Ina Sea View (Muonekano wa Bahari na City View (Muonekano wa Mji). Muonekano wa jiji na bahari unaonekana ikiwa umesimama au umekaa katika balicony na vibalaza. Ina vyumba vitatu vya kulala vinavyojitoshereza, subule kubwa, jiko la...
  12. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Inavutia, bora na ya kisasa. Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani ikiwa na vyumba viwili vya kulala (kimoja cha kawaida na chumba kimoja kinachojitoshereza), sebure, jiko la kisasa na mahali pa kula. na sehemu ya kuegeshea magari. Tuwasiliane kwa ajili ya kuiona kwa njia ya...
  13. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    This is an excellent 3 bhk flat for rent in Ocean Road, Walking distance to beach. It has 2 bathroom(s), living room, dining area and kitchen. This apartment is available for all. The apartment has a single balcony. Situated on the 3rdfloor of 4 floors. It is unfurnished apartment with fans...
  14. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    FEATURES:1: Double storey house with 6 bedrooms, large living room, kitchen, laundry, dining area and maid room. 2: Double storey office with 240 square meters. 3: Warehouse with 140 square meters. All these going for USD $ 4000 per month payable in six months term or a year. For more info and...
  15. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Ina vyumba viwili vyoo viwili na ukumbi. Ipo katika ghorofa ya kwanza. Ina Hati, Haina service charge, Inafaa kwa matumizi ya makaazi na biashara(Ukiipangisha unalipwa kodi Tsh 800,000 kwa mwezi) Bei ya kuuzia 127mil. Hii si ya kukosa ipo katika PRIME LOCATION karibu sana na Diomond Jubilee...
  16. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    The warehouse is located near Tazara. The Rental Rate is $ 4.00 per SqM. + VAT The warehouse has a total area of 600 SqM. Minimum of 1 year lease In addition, In addition, It can be accessed by: 10, 20, and 40 Footer Truck Container. There is available parking for the tenant. In...
  17. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    A villa built on a chunk of 1600 square meters second row beach plot going for $ 500,000 abit negotiable. FEATURES -6 bedrooms (3 en suites) -Kitchen -Living area -Dinning area A manicured trimmed garden Beautiful trees for fresh ventilation For more info, plz kindly contact: Kitomai...
  18. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja Masta. Mahala pa kula. Kodi 500,000 kwa mwezi malipo miezi 6. Kuiona piga simu +255755312233
  19. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Ukubwa wa Kiwanja 1200 mita za mraba. Kiwanja kipo eneo linalofikikika kirahsi kwani kuna barabara ya uhakika Kiwanja kimepimwa kina Hati Miliki Huduma za umeme na maji zipo. Njoo tuzungumze namna ya kulipana kwa mkupuo au ndani ya muda fulani. Bei njoo na bajeti yako tuzungumze...
  20. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    A block of apartments at Upanga area consisting of 11units of studios and 1br; studios 5 units at tsh750,000k@, 1br 6units at Tsh850,000k@ total monthly income is tsh8,850,000mil and currently has no one vacant left. It's single storey building on 1000 square meters plot on a tarmac, ample...
Back
Top Bottom