Wizara mizigo kabisa ni hizi Mwigulu Nchemba na Nape Yape yaani Mwigulu anajua kukopa tu na Nape anajua kufungia mitandao tu, nenda hapo Kenya waziri wa uchumi, nenda Rwanda waziri wao anawaza kubadilisha technology kidunia yaani vichekesho tu
Prondo unashangaa nini ,Chelsea umesahau lini? Manchester umesahau lini hakuna mashabiki ambaye angekaa nyumbani asiende kuwatazama hao wote wawili wakati huo wanawaalimu waziri pamoja na fedha za kutosha ?Yaani umemsahau Abromovic?Kwa sasa wanaoangalia man u na Chelsea ni wale hawajui Chelsea...
Wales,North Ireland, Scotland wote ni ndugu muungano huu ni ubatili Nyerere no karume aliyeuliza wananchi wake juu ya muungano Kwa sasa tunanyonywa kila mtu apambane kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.