Search results

  1. Shishye

    Elections 2010 Kura yangu siri yangu yako je?

    Kura yangu ni siri isipokuwa kwa mgombea mmoja tu..... hili liko wazi wala sio siri tena. 1. Silali usingizi wa kutosha maana lazima nidamke usiku usiku kutokana na foleni. 2. Nikiugua sina matumaini ya kupona maana huduma za afya ni duni kuliko mfano 3. Elimu ya watoto wangu ni shida shule za...
  2. Shishye

    Taswira ya Watanzania: Tujisafisheje?

    Jirani yetu Mkenya anavyotushangaa. Jamani tutaendelea na matendo haya hadi lini?
  3. Shishye

    Tanzania tusipobadilika tutaendeleaje?

    Jana nilikuwa na safari ya kwenda airport nikitokea nyumbani maeneo ya mikocheni. Nilitoka nyumbani saa 8 mchana, nikapitia Ali Hassan-Bibi titi-Nyerere road. Kuanzia mjini niliona askari wa traffic kila mahali kwa idadi isiyo ya kawaida. Nikahisi ni matatizo ya umeme kwenye taa za kuongozea...
  4. Shishye

    Rais wenu Nakubalika

    Bado muda kidogo nitarudi kwenu kuwaeleza historia ya mambo meeeengi mazuri niliyoifanyia nchi hii tangu nilipochukua madaraka hadi sasa ambapo namaliza miaka yangu mitano ya kwanza. Leo nitawakumbusha moja tu kwa haraka haraka, nalo ni TRL. Mnalikumbuka shirika hili lilivyokuwa 2005 na kabla...
  5. Shishye

    Rais wenu 'tuu bize'

    Nimelikumbuka jambo moja ambalo niliwaahidi watanzania wenzangu wakati natafuta funguo za Ikulu! Ama kwa hakika watanzania wanadanganyika kirahisi sana. Nilijifanya nitashughulikia kwa nguvu zangu zote kurekebisha mikataba ya madini ambayo illingiwa kifisadi. Ni ukweli usiopingika hadi leo...
  6. Shishye

    Ukarabati miundo mbinu, kiini macho cha Uchaguzi mkuu?

    Mabarabara mengi ya jijini yako kwenye matengenezo yasiyo ya lazima wala plani ya kueleweka. Barabara ya Old Bagamoyo inatolewa lami na kukarabatiwa. Barabara hii kero yake kubwa huwa ni ufinyu zaidi kuliko ubora wa lami. Anyway, inapigwa greda kufurahisha watumiaji, je ni mkakati wa dhati au...
  7. Shishye

    Kwanini Mh. Rais asiitwe msanii?

    Hivi karibuni JK alifanya mkutano 'live' na nchi nzima kupitia TV ya taifa ambapo alijibu swali moja au mawili tu katika mengi aliyoomba wananchi wamwulize. Alidai kwamba angefanya mikutano ya hadhara baadaye kujibu maswal lukuki ambayo hakuweza kuyajibu siku ile. Nini kimemtokea? Rais akiahidi...
  8. Shishye

    Ubunge na kuajiriwa - sheria inaruhusu?

    Kuna jambo linanitatiza kwa muda sasa, nimefikiria sana jibu lake silipati. Nimeona niliweke hapa mbele yenu muweze kunisaidia. Mtu anapoamua kugombea ubunge anakuwa na kazi yake anayoifanya labda mkulima, mfanyakazi au biashara. Je akishaupata huo ubunge, kuna sheria yoyote inayomtaka aachane...
Back
Top Bottom