Search results

  1. F

    Serikali 2015

    Assume umepewa jukumu la kupanga serikali ya Tanzania 2015 1. Baraza la mawaziri litakuwa na Wizara Ngapi? 2. Je utaendelea kutumia NAIBU WAZIRI? 3. Wizara ya Fedha itaendelea kuwa Fedha na Ucchumi au ya uchumi utaiunda upya? 4. Waziri Mkuu atakuwa bado msemaji au mtendaji? Nadhani wengi...
  2. F

    Je! Ni anguko la ccm?

    TANZANIA NA CCM TUNAKOELEKEA (Kuna makosa ya kutofumbia macho) Niliwahi kusema (miongoni mwa post zangu kuhusu uchaguzi wa Arumeru Mashariki) katika mtandao wa jamii wa Face book (FB) kuwa "ARUMERU ndo start point ya COUNTDOWN ya vitu viwili ama; 1. Ukombozi wa Nchi kwa njia ya BARROT; Ama...
  3. F

    Kutoka maadui watatu 1961 hadi maadui kumi 2012

    Ndugu wana JF; Wakati tunapata Uhuru Tanganyika 1961 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Tulipoanzisha Azimio la Arusha 1967 tulikuwa na maadui watatu (UJINGA, MARADHI na UMASKINI); Mwaka 1977 tulipoandika KATIBA kwa Mara ya kwanza tulikuwa na Maadui watatu (UJINGA, MARADHI...
  4. F

    Watanzania hawana adabu kumsema Rais!

    kwanza napenda niwashukru japo si kwa furaha wanablog hii kwani mnaonekana wenye mtazamo wa kutaka kuleta mapinduzi lakini shabaha ndiyo mbovu. pili nimpe pole rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh. Jakay M. Kikwete kwa juhudi zake z akila siku katika kulipeleka taifa hili kule tunatakiwa...
  5. F

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    ijulikane kwamba hakuna mtanzania asiyependa maendeleo ya michezo lakini kwa hili la Real Madrid siliiungi mkono hata chembe. sababu ziko nyingi lakini moja tu ya kiuchumi na kushuka kwa thamani ya sarafu yetu nitaiweka wazi. real Madrid ni timu kubwa yenye wachezaji wa ghalama kubwa na wenye...
Back
Top Bottom