Search results

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nchi 10 Zenye Amani Duniani Tanzania haipo Kwenye Nchi Zenye Amani.

    chaguwa wewe hapo nchi ya kuitoa uweke bongo yako.
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nchi 10 Zenye Amani Duniani Tanzania haipo Kwenye Nchi Zenye Amani.

    NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais wa Burkina Faso akopa Tractors 400 ili nchi yake iwe na Maendeleo Mazuri

    BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON. https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ripoti ya Haki za Binadamu 2023: Watu 57 walijiua, wengi wao ni wanaume vijana

    Kazi kwako tutasikia unaitwa humu jamvini RIP. Kwa Madeni au Mademu......
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ripoti ya Haki za Binadamu 2023: Watu 57 walijiua, wengi wao ni wanaume vijana

    Bado na wewe utakuja kujınyonga muda sio mrefu kuanzia sasa.
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ripoti ya Haki za Binadamu 2023: Watu 57 walijiua, wengi wao ni wanaume vijana

    Na bado sana Watu watajiuwa wengi wewe unga mkono ujinga wako wa kodi ya mama ntilie ipasishwe bungeni. hali izidi kuwa ngumu kwa watu wa kipato cha chini inaonyesha weweni mtu wa Serikali unaunga mkono hoja pumba za baadhi ya Wabunge.
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    Ninakuacha hapo siwezi kuzungumz ana mtu mjinga anaye zungumza maneno ya pumba ninakuacha kama ulivyo na ujinga wako.
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    Wazungu wanaye msifia Mama Rais ndio maaduwi zetu wanatunyonya maziwa yetu taratibu huku tukiwafurahikia kumbe wao ni maaduwi zetu hawatutakii mandeleo yetu wanataka bara la Afrika lisiwe na maendeleo yoyote yale. WAZUNGU WALIMUUA GADDAFI KWA SABABU YA KUTAKA KUIUNGANISHA AFRIKA/AMKENI WATU...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Mjinga wewe usinitukane kama umekosa hoja bora usinijibu umeleta Mada ya kumlipiza kodi Mama Ntilie kisha unaniita mimi mjinga? Mjinga wewe usiyekuwa na huruma ya mama ntilie angelikuwa ni mama yako ungeweza kumlipisha kodi? acha upumbavu wako wewe unamuunga mkono Mbunge ambae hata kodi halipi...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Kipato wanacho kipata ni kidogo hakiwezi hata kumtosheleza mahitaji yake ya nyumbani utakuta mam ntilie hana mume ana watoto 3na wote wanamtegemea yeye halafu mama huyohuyo ntilie unamtoza kodi atawezaje kumudu maisha yake?Si unamnyonya mama ntilie ?unataka akafanye umalaya ili apate pesa?
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    umezungumza point atuonyeshe yeye kwanza analipa kodi kiasi gani ?Sio awabane walala hoi walipe kodi wakati yeye halipi kodi
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Acha chuki zako wewe unataka Serikali iwakomoe Walala hoi kwa kuwatoza kubwa halafu wakati w auchaguzi unafikiri wananchi wataichaguwa tena CCM ili itawale?Umnyonye malal hoi kwakumtoz akodi kubwa uwache matajiri wakubwa wanalipa kodi kidogo halafu unafikiri hao hao wananchi uwaombe kora zao...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    mjinga wewe unataka mpaka mama ntilie atozwe kodi?
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    RAIS MAGUFULI; TRA ACHENI KUTOZA KODI KUBWA KWA WANANCHI. https://www.youtube.com/watch?v=zJ8UBXxLMUs&ab_channel=ChachaMesenda
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Elibariki Kingu: Nchi hii(Tanzania) Watu Hawalipi Kodi. Marekani Mama Ntilie Analipa Kodi

    Nchi yetu ni ya ajabu sana eti Mheshimiw ambunge huyu anataka kumlipisha kodi Mama Ntilie Wakait matajiri wanalipa kodi kidogo sana Wafanya biashara wakubw wa madini na wengineo wanalipishwa kodi kidogo unataka kumlipisha kodi mama ntilie?ahhh ama kweli Mheshimiwa Mbunge huna hata huruma...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Samia afanikisha kupatikana Kwa TSHS.Trilioni 6 za Nishati ya Kupikia. Rais wa Benki ya AfDB Asema ni Kiongozi wa Mfano

    Rais Magufuli ukishanguliwa na Adui Rudi nyuma. https://www.youtube.com/watch?v=IO63cVkwjGU&ab_channel=shabbytv
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Tambua tofauti kati ya upagani, wicca na uchawi

    Endelea kaka..........................
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jifungue na ufahamu uchawi na matumizi ya majini kwenye uchawi

    UNATAKA KUWAONA WACHAWI AU MBAYA WAKO TUMIA BAMI. ONYO: 👉USIFANYE DAWA HII KAMA HUNA KINGA MWILINI MWAKO MCHAWI AKIKUGUNDUWA UMEMUONA ATAWEZA KUKUROGA NA KUKUMALIZA MAISHA YAKO. UKIFANYA DAWA HII WAKATI HUNA KINGA MWILINI MWAKO SHAURI YAKO MIMI SIMO MCHANGA WA PWANI HUO.😍:xqcDitch:
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Misada ya bure itawaponza Mtamkumbuka Rais Magufuli Mungu aiweke mahali pema Roho yake.
Back
Top Bottom