Search results

  1. LOGORIDDIM

    Waziri Nape na Mwigulu tunaomba PayPal na Payoneer

    Habari za asubuhi Waheshimiwa viongozi wangu. Nimefarijika kuona taarifa mpya kutoka serikalini kuhusiana na "digital marketing". Ushauri wangu kwenu na kwa walengwa wengine katika sekta ya biashara na uchumi, hususan biashara za mtandaoni. Kama kweli kuna lengo thabiti la kuifungua nchi na...
  2. LOGORIDDIM

    Airtel ombeni ridhaa kwa wateja kabla ya kutuunganisha katika huduma zenu

    Habari. 1. Mnatuunganisha ktk huduma zenu bila ya kwanza kupata ridhaa za wateja wenu. 2. Kuna hii huduma ya KAMILISHA. Hii huduma ni kama ni ya kulazimisha vile. Na kujitoa ni shida. Mara ya mwisho ilibidi nitaabike kwenda ofisini kwao kuwaomba wanitoe. Na ilibidi nilipe deni ambalo hata...
  3. LOGORIDDIM

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Kwa heshima na taadhima. Nakuomba Rais wetu tuwezeshe sisi ambao tunapigania fursa za biashara za nje ya nchi tuweze kupata huduma ya PayPal nchini. Ninaandika kwa uchungu sababu nchini fursa ni chache na tunapigania kupanua wigo wa kazi zetu kwa kujiingiza ktk masoko ya kimataifa lakini...
  4. LOGORIDDIM

    Kijana amepotea Dodoma Mjini

    Habari za leo wandugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Jina: Amedeus Apolinary Masawe Umri: Miaka 14 Siku ya mwisho alikuwa amevaa track suit ya kijivu na mistari myeupe pembeni, t shirt ya rangi bluu na viatu rangi nyeusi. Mahali anapoishi na wazazi wake ni Njedengwa, Dodoma. Amepotea...
  5. LOGORIDDIM

    Tunabuni Nembo-Logo/Lebo & Kutoa Ofa 5 za Bure za Design za Biz Card, Invoices & Letterhead

    Habari za masiku wanajamvi. Ninakupatia bonge la ofa. Hakika hautajutia.
  6. LOGORIDDIM

    Msaada: GPS Car Tracking kwa Dodoma

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nataka kujua wanapotoa huduma hii Dodoma. Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie tafadhali Natanguliza shukran zangu
  7. LOGORIDDIM

    Je, unamjua Ibrahim Shaaban? Amefariki kwa ajali

    Habari za Leo, Kuna Bwana anaitwa Ibrahim Shaaban amepata ajali ya bodaboda Dodoma siku nne zilizopita. Yeye alikuwa ni abiria ni kijana tu hivi, yeye na Dereva wa bodaboda wamefariki. Maiti yake iko motuary Dodoma. Tafadhali sambaza taarifa hizi na Mola Muumba atakulipa.
  8. LOGORIDDIM

    Jipatie Logo au Label + Ofa ya bure ya design za letterhead, biz Card & invoices

    SPECIAL OFFER! Kwa kila kazi moja ya kutengeneza logo utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya 1. Proforma Invoice Template. 2. Tax Invoice Template 3. Delivery note template 4. Headed Paper Template 5. Biz Card Template Email: logoriddim@gmail.com Ili kujiridhisha juu ya uwezo wangu...
  9. LOGORIDDIM

    Je, una computer program hii uniuzie?

    Natafuta adobe illustrator ambayo sio ya ku crack. Iwe na serial number zake.- Pls Contacts me (mobile/whatsapp/viber): +255 688 999006: +255 688 999006
  10. LOGORIDDIM

    Furahisha macho na hizi nembo

    ... kama wewe ni mpenzi wa sanaa ya nembo nchini. Proudly Tanzanian creativity.
  11. LOGORIDDIM

    Logo bomba ya leo

    Proudly Tanzanian.
  12. LOGORIDDIM

    Usipitwe. Furahisha macho hapa...

    ...kama wewe ni mpenzi wa sanaa ya nembo Tanzania Proudly Tanzanian
  13. LOGORIDDIM

    Mashine ya kukamulia alizeti: Upatikanaji wake

    Za leo wakuu. Najipanga ili Mwenyezimungu akipenda nijiingize ktk production ya mafuta ya alizeti. Naomba msaada Wa yeyote anayejua upatikanaji Wa mashine ya kusagia alizeti uko vipi.
  14. LOGORIDDIM

    Manufaa ya Ujasiliamali kwa njia ya mtandao

    Mimi ni Mtanzania mjasiliamali mchoraji wa nembo (logo). Hapa nakuonesha baadhi ya kazi ambazo nimewafanyia wateja mbalimbali kutoka nje ya nchi katika kipindi kifupi. Hii ni changamoto kwa wajasiliamali wote nchini. Msingi mkubwa wa mafanikio ni ubora wa kazi au bidhaa yako; kujiamini...
  15. LOGORIDDIM

    Furahia art & graphic

  16. LOGORIDDIM

    Logo Designer: Jipatie logo/nembo kwa bei nafuu

    Je, unahitaji logo (nembo) kwa ajili ya mradi au biashara yako? Bei ni 90,000/- tu. Ofa ya bure! 1. Letterhead Template 2. Proforma Invoice Template 3. Tax Invoice Template na 4. Biz Card Template. Tafadhali wasiliana nami: (Mobile/Viber/Whatsapp): +255 688 999006 Email...
Back
Top Bottom