Mimi nilifikiri kuwa na gari ni UTAJIRI, kumbe unaweza kuwa na magari manne na ghorofa na bado ukaoneka maskini kwa mkeo... Acha niendelee kupanda Bajaj..
Mojawapo ya sababu za kupinduliwa na kuuliwa aliyekuwa Rais wa Libya ni wazo lake la kutaka Waafrika kuazisha Benki ambayo ni mbadala WB, IMF, . .. RIP Col Gaddafi...
Kuna baadhi ya watu wanafahamu kuficha hisia mpaka unaweza kudhania siyo binadamu... Note : Hii ni taaluma inayofundishwa darasani kama taaluma nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.