Search results

  1. H

    Arfi: Makamu mwenyekiti na mwanasiasa mkomavu kuliko wote CHADEMA

    Arfi ni Mzee mwenye hekima na mwanasiasa mkomavu kuliko wote CHADEMA. Anafanya vizuri kazi yake ya mbunge bila kuingiza siasa pamoja na kuwa ni makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani. Mwaka 2010 alionyesha ukomavu wa kutambua mchango wa Pinda kwenye Mkoa wa Rukwa na kumpinga mgombea wa...
  2. H

    Kikwete athibitisha nguvu zake kuhusu MUHAS Mloganzila na brain drain ya madaktari

    Rais Kikwete jana alionyesha nguvu zake kwa kueleza kwamba yeye ndiye mwenye nguvu kuhusu ardhi na kueleza kwamba ardhi ya Mloganzila ni ya Tanganyika Packers, hivyo wananchi wasisikilize wanasiasa wa upinzani na waondoke bila fidia ya ardhi. Rais Kikwete aliyasema hayo wakati akizindua majengo...
  3. H

    Mnyika amuunga mkono Mwakyembe usafiri wa Treni

    Mbunge wa CHADEMA John Mnyika amemuunga mkono Waziri wa CCM Dr Harrisson Mwakyembe katika kazi za Serikali ya Rais Kikwete ya kuondoa foleni Dar es salaam kwa ubunifu wa usafiri wa treni yenye viwango, msome hapa: JOHN MNYIKA: MAJARIBIO YA USAFIRI WA TRENI DAR ES SALAAM NI HATUA MUHIMU, TRL NA...
  4. H

    Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa

    Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa Jemadari wa CCM Selaman Jafo kwa mara nyingine tena amemzidi kete Mnyika wa CHADEMA kwa kuwasilisha muswada kuhusu fao la kujitoa kwa hati ya dharura. Awali Jafo katika mkutano uliopita wa bunge aliomba muongozo wa Spika kuhusu...
  5. H

    Kama Mbowe alivyobanwa na bunge huyu naye asiachwe

    Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii: Mnyika: Bunge limetekwa na mafisadi bila kuchukua hatua kulinda heshima ya bunge? ...ndiyohiyo
  6. H

    Mnyika kukamatwa kama Mwigamba na Kibanda kwa kuchochea polisi kugoma

    Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda kukamatwa na kushtakiwa kwa uhaini na uchochezi. Kama polisi mnaacha kumkata kwa kuwa ni mbunge mumkamate...
  7. H

    Huu ni uhaini na uchochezi wa CHADEMA

    Polisi kamateni viongozi wa CHADEMA ni wahaini na wachochezi. Slaa anadai kuwa polisi mnatumiwa na CCM na amewahusisha na kukatwa mapanga na wabunge wa CHADEMA. Mnyika amesema hatuna serikali na kuwataka wananchi kushiriki kufanya mapinduzi kwa nguvu ya umma. Mbowe amesema watu waingie...
  8. H

    Katibu CCM afichua Siri ya Mnyika kumzushia Mama Kikwete

    Katibu Msaidizi wa Idara ya Siasa na Uhusiano ya CCM Charles Charles amemuumbua Mbunge wa Ubungo John Mnyika kutokana na madai yake ya uongo bungeni dhidi ya mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Katibu huyo amefichua siri kuwa Mnyika alitoa madai ya uongo ya WAMA kutumiwa kwenye kampeni ili kuficha...
  9. H

    Spika, Katibu wa Bunge wampuuza Mnyika kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Spika na Katibu wa Bunge wamempuuza mbunge wa Ubungo juu ya madai yake ya mara kwa mara kuwa kanuni za bunge zinapaswa kurekebishwa kabla ya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi wa Afrika Mashariki. Mnyika amedai kwenye vyombo vya habari kuwa aliwasilisha mapendekezo mwezi Februari. Mnyika anadai...
  10. H

    Baada ya Maalim Seif na Wabunge kushindwa vijibweni, mvutano mwingine waibuka CUF

    Mvutano mwingine umeibuka CUF baada ya Maalim Seif na wabunge kuweka nguvu kubwa katika uchaguzi wa kata ya Vijibweni na kuambulia nafasi ya tatu. Baadhi ya viongozi wa chama hicho wamesema kwamba madai ya Hamad Rashid kuhusu Katibu Mkuu Maalim Seif kushindwa kukiwezesha chama kujijenga kupata...
  11. H

    Temeke na Vijibweni wapuuzeni CHADEMA

    Wakazi wa Temeke kata ya Vijibweni wanapaswa kuwapuuza CHADEMA na kampeni zao. Kampeni hizo wanazodai kuzifanya kwa nguvu ya umma hazina tija kwa kuwa hawana mabalozi wa nyumba kumi kama CCM.
  12. H

    Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

    Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza siasa tu? Hajui hata Obama mwenyewe huwa anahojiwa na Alex Blastick, yule mcheza filamu za ngono? Huu...
  13. H

    Hawa Ng’umbi kutoa ushahidi wa kumng’oa Mnyika kesho

    Kada wa CCM na Mkuu wa zamani wa Wilaya mbalimbali nchini kesho ataanza kutoa ushahidi wa kumng'oa kijana wa CHADEMA John Mnyika asiwe mbunge wa Ubungo. Kada huyo ataambatana na wanachama wengine wa CCM kutoka kata mbalimbali ambao nao wamejiandaa kutoa ushahidi mzito wa kumuunga mkono...
  14. H

    DAWASCO yamjibu Mnyika, Midalla aeleza kushangazwa na atoa siri ya chanzo

    KAMPUNI ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASCO), na Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika, wanatarajia kufanya ziara katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo ili kubaini maeneo yenye matatizo ya upatikanaji wa maji. Akizungumza na gazeti hili Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco, Jackson...
  15. H

    Wabunge CCM wawafunga goli CHADEMA, Sendeka amzidi kete Mnyika

    Wabunge wa CCM jana walifanikiwa kuzinduka na kuwazidi kete wa CHADEMA dakika ya mwisho. Hali hiyo ilitokea wakati wa kupitishwa kwa muswada wa sheria ya fedha haramu. Aliyeokoa jahazi ni kada mpambanaji wa ufisadi Sendeka. Kamanda Sendeka alifanikiwa kabla bunge kuahirishwa mpaka jumatatu...
  16. H

    Mahakama kutoa hukumu juu ya Ubunge wa Mnyika Septemba 27

    Ng'umbi ataka utetezi wa Mnyika usikubaliwe. Jaji Msuya alisema uamuzi wa maombi hayo atautoa Septemba 27 mwaka huu. Mbali na Mnyika walamikiwa wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Ubungo. Miongoni mwa madai katika kesi ya msingi, Ng'humbi anadai...
  17. H

    Cheyo aisulubu CHADEMA

    Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameisulubu CHADEMA kwa kusema kwamba falsafa yake ya Nguvu ya Umma haina maana yoyote kwa watanzania. Cheyo amesema CHADEMA watambue kuwa Kikwete ndiye Rais halali. Cheyo ameyasema hayo katika mkutano mkuu wa chama hicho unaondelea hivi sasa katika ukumbi wa...
  18. H

    Makamba aitisha Public Hearing kubariki DOWANS

    Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati Makamba amefanikiwa kuwaziba mdomo wapinzani wa Dowans kwa kuitisha Public Hearing leo katika ukumbi wa Karimjee. Mkutano huo wamealikwa wananchi wanaothirika na umeme ambao wanataka mitambo hiyo iwashwe na Dowans walipwe kwa mkataba habarindiyohiyo
  19. H

    Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

    • Asema hana mpinzani na Deogratius Temba JITIHADA za kuhakikisha Rais Kikwete anaendelea kukubalika kwa wananchi na kuchaguliwa zinazidi kushamiri ambapo mama wa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Zitto Kabwe ametangaza kuwa hakuna mtu yeyote mwenye kufaa...
  20. H

    Nape refutes Mnyika; TBC takes debate off air

    The NEC Member CCM, Nape Nnauye refuted the claim made by CHADEMA's John Mnyika that there is a contract between politicians and the voters during elections. The claim was made during "This Week in Perspective TV Show that was aired by TBC. Earlier in the program Nape had maintained that in...
Back
Top Bottom