Search results

  1. Z

    Machine ya vitofali inauzwa milion 60 Tsh

    sina utaalam nayo ni machine ya kutengenezea hayo mawe, hiko Poland, inauzwa mil 60 Tsh, pamoja na kukusafirishia mpaka Dar, mwenye nayo kaniomba nimtafutie mnunuzi, kama utakuwa unaijua na kuna vitu unataka kujua niulizie ni vitu gani nami bila hiyana nitamuulizia tu.
  2. Z

    Nyimbo za Maombolezo

    nimepita kwenye web ya Djchoka Bongostarlink.com nikasikia hizo nyimbo za maombolezo ya msiba wa ndugu zetu wa zenj, nimeona tushare kwa wale watakaopenda. kama si mahali pake sorry.
  3. Z

    Rest In Peace Mwanawasa

    Imethibitika rais wa zambia hatunae tena. amekufa leo asubuhi saa 4.30.
  4. Z

    Kuna wanajeshi Watanzania Iraq?

    WanaJF hii nimeiona kwa Mjengwa nikaona bora tushare,siyo wote mnaokwenda huko, kama siyo mahali pake i am sorry ihamishwe.hivi ni nguo tu imekosewa badala ya bendera ya iraq wameweka ya kwetu ama kuna chochote ambacho sikijui?mahelezo yaliyokuwepo kwenye hiyo picha. A U.S. soldier (L) from...
Back
Top Bottom