Search results

  1. Zvi

    Mercedes Benz A-class a170

    Habari!, Naomba kujua Pros (+) na Cons (-) za gari Mercedes A170 W169 CVT transmission. Natanguliza shukrani
  2. Zvi

    Rav4 3sge to 1zz swap

    Habari wakuu! Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuiondoa engine ya 3sge (original engine) kwenye rav4 na kuweka 1zz. Shukrani
  3. Zvi

    Rav4 for sale

    TOYOTA RAV4 J - V TYPE G 4WD Petrol, 2000cc, 5door, 5seater Color: Silver / Grey Year: 1997 Mileage:148,000 Price:11.5m Contact: 0627109452
  4. Zvi

    Rav4 slow acceleration

    Habari wakuu! Gari Rav4 1996 engine model 3S-GE ina tatizo la kuongeza kasi (acceleration), inaanza vizuri kutoka 0-50, baada ya hapo inajivuta sana kwenda 60,70 na 80. kupata spidi 100 inakuwa ni shughuri hata ukikanyaga peda mpaka mwisho kunakuwa hakuna mwitikio, kwenye milima/miinuko...
  5. Zvi

    Dawa ya kuua wadudu

    Heri ya mwaka mpya 2015 JF! Maji ninayotumia ya kisima cha kuchimbwa yana wadudu mithili ya minyoo wadogo wadodo, nimepita maduka kadhaa Arusha kutafuta dawa ya kutibu maji sijapata. Tafadhari naomba anayejua dawa ya kutibu maji ya kisima na mahali inapopatikana, natanguliza shukrani.
  6. Zvi

    Rav4 inauzwa

    Details: Year:1998 Transmission : Automatic Mileage: km 175600 Engine model: 3S Price: 8ml negotiable Gari iko Dar, for more details call 0767801747
  7. Zvi

    help: forgotten KIS 2012 password

    Heshima wakuu. Ni kwamba mwaka jana wakati na install Kaspersky Internet Security (KIS) 2012 niliweka password “Parental Control” sasa nataka kuinstall KIS 2013, in the process of installation nikaambiwa niingize current password, bahati mbaya nimeisahau hiyo password, nimejaribu kuingiza...
  8. Zvi

    intro

    Hello Greetings to ALL JF members. After enjoying this site as guest for a couple of months ago and finding it helpful. I am very much excited to officially join this community. Its my pleasure to take part of the discussion. Thanks and regards
Back
Top Bottom