Search results

  1. NGULI

    Indian tech giant plays dirty in East African IT Market turf war

    India. (News of The South) -Indian company, Techno Brain, which has a massive footprint in the technology and software industry is feeling the heat after fierce rival, Twenty Third Century Systems (TTCS) – a pan African major, entered the fray, securing coveted tenders to upgrade government...
  2. NGULI

    Wenyeviti wa serikali ya mitaa wa Jimbo la Arusha mjini wametoa tamko la pamoja kutoshirikiana Gambo

    Swali lako lina maana gani? Soma post yangu uelewe uozo wa viongozi wako wa hapo Arusha. Hakika Gambo atawanyoosha.
  3. NGULI

    Wenyeviti wa serikali ya mitaa wa Jimbo la Arusha mjini wametoa tamko la pamoja kutoshirikiana Gambo

    Mbunge Lema na Madiwani wa Chadema Arusha wapata kiwewe. Baada ya Dc wa Arusha Bw. Mrisho Gambo Kuunda tume ya vyombo vya dola ya kupitia mikataba pamoja na vibanda vya kwenye masoko na stendi Jijini Arusha inasemekana jambo hili limewapa kiwewe Lema na wenzie. Taarifa za kina zinaonyesha...
  4. NGULI

    Arusha: Siri Nzito za DC wa Arusha, Mrisho Gambo Kuzuia ziara za madiwani zafichuka

    Acheni ujinga fanyeni kazi, Wewe ni mmoja wa madiwani aanahaha kwa vile mikataba yenu inawalakini. Acha tujuwe ukweli
  5. NGULI

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Chadema mmeuza bunduki mkabakia na kasha.... Kumbatieni wanaogombea pombe bar
  6. NGULI

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Zitto ni next level
  7. NGULI

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Ulipewa ngapi?
  8. NGULI

    Sehemu za kufanya mazoezi ya viungo(GYM) hapa Dar

    Mkuu thanks, Tatizo hajajieleza vizuri dhumuni la yeye kufanya mazoezi au kwenda gym ni nini? kuna kupunguwa, fitness, tonning/ anataka kuwa Shredded. Hapo naweza kumshauri gym gani ingemfaa kwa mfano tu, Rio ilioko LPAF building opposite PPF towers wako vizuri sana kwa aerobics, salsa na...
  9. NGULI

    Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

    Mwana JF yeyote alioko Abu Dhabi tutafutane tafadhali kipaombele Kwa jinsia ya Kike
  10. NGULI

    Rest in Peace Comedian Joan

    "Comedian Joan Rivers has died in a New York hospital, her daughter says." -- CNN CNN.com - Breaking News, U.S., World, Weather, Entertainment & Video News
  11. NGULI

    Natoa mkopo kwa dhamana ya gari tu

    Wanachokifanya Hawa wahuni unapeleka gari na card original then una sign mkataba wa kuuza usipokuwa umelipa Kwa kipindi mlichokubaliana.... Huo ni utapeli. Ukiweka Gari Kama dhamana credit policy says that u should pledge the chattel mortgage Kwa kuacha card Yako original ya Gari na ukishindwa...
  12. NGULI

    Natoa mkopo kwa dhamana ya gari tu

    BOT wanaanza ku monitor hizi micro finance very soon na zote zitafungwa Kwa vile hazifwati taratibu Za kukopesha watu. Nyingi sio hii siifahamu ni Za kitapeli Kwa mfano easy finance. Unaweka Gari kama dhamana siku ya kulipia uchukuwe hapatikani hewani ukienda unakuta wameuza wanakwambia umechelewa.
  13. NGULI

    CCM Yakubali yaishe, Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa

    Mkuu usi panic huu uzi wenyewe ni uzushi. Ila Kama umekasirika sana njoo nikamate haraka iwezekanavyo ukishindwa naanzisha maandamo
  14. NGULI

    Tahadhari kubwa: Noti bandia zimerudi kwa kasi

    Mshana mimi sikupi pole wewe ni mfanya biashara wa kati SME ambaye hujui matumizi sahihi ya taasisi au mifumo ya fedha kwa nini hukuwaambia wa deposit bank then wakupe deposit slip? million 4 ulizihesabu kwa mkono? ungekuwa na counting machine inauwezo wa ku detect fake notes. Ulishindwa hata...
  15. NGULI

    CCM Yakubali yaishe, Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa

    Kama huu sio uzushi sisi CHADEMA kwa akili zetu timamu tunapinga maamuzi haya kwa vile hawakutuhusisha na ni ya pupa mno tutazunguka nchi nzima na chopa kushawishi maandamano.
  16. NGULI

    Kutana na warembo wa JF waliojitolea kuweka picha zao bila chenga

    JF Haijabarikiwa wasichana wazuri, labda akina mama wazuri kuna mmoja alikuwaga anaitwa WomanOfSubstance
  17. NGULI

    Ferguson Riots in USA: Anger at crackdown on protestors

    Egypt's government has called on US authorities to show restraint against protesters in Ferguson, Missouri. It said it was "closely following the escalation of protests" after the fatal shooting of an unarmed black teenager by a white policeman on 9 August. The statement echoes US President...
Back
Top Bottom