Search results

  1. Kunguru Mjanja

    UEFA 2021/22: Man. Utd kundi moja na Villarreal. Chelsea yapewa Juventus na Man. City kundini na PSG

    Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki) Timu 32 zitashiriki katika kupangiwa makundi, 26 zikiwa zimepita moja kwa moja na nyingine 6 zikitokea katika play-offs Tumu...
  2. Kunguru Mjanja

    EURO2020: England VS Italia | Je, wajua England imeshinda mara moja tu dhidi ya Italia ikiwa Wembley?

    Fainali hii inayofanyika katika Dimba la Wembley huko London, Uingereza inawaleta pamoja Italia inayoangalia namna ya kuongeza taji jingine la EURO baada ya ya miaka 53 na England inayoangazia namna ya kuchukua taji lake la kwanza la michuano hiyo Italia imeshapoteza fainali mbili tangu ishinde...
  3. Kunguru Mjanja

    Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

    Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
  4. Kunguru Mjanja

    Mahakama: Hangover (Chelewa) ni Ugonjwa

    Mahakama ya Frankfurt imetangaza kuwa mning'inio (hangover) ni ugonjwa na ni kinyume na sheria Nchini humo kudai vyakula au virutubisho vinaweza kuponya ugonjwa Kesi hiyo ilimuhusisha 'Mtengeneza Unga' anayedai unga wake unaondoa mning'inio kwa kuondoa kichefuche, maumivu ya kichwa na uchovu...
  5. Kunguru Mjanja

    Ruvuma: Mkutano wa ndani wa Chama cha ACT-Wazalendo wazuiwa hadi Rais Magufuli atakapomaliza ziara

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Tunduru limepiga marufuku mkutano wa ndani wa ACT Wazalendo uliopaswa kuhutubiwa na Kiongozi Zitto Kabwe na Seif Sharif Hamad hadi pale Rais Magufuli atapomaliza ziara yake Mkoani Ruvuma. Rais Magufuli yupo Songea, zaidi ya KM 250 kutoka Tunduru. Sent using Jamii...
  6. Kunguru Mjanja

    Baada ya Rais Magufuli kumzawadia Rubani Mapunda zawadi, Wakenya wasema kuna rubani wao pia aliiba ndege Tanzania

    Katika hali ya kuonesha kutokufurahishwa na kitendo cha Rais Magufuli kumpa zawadi ya Tsh. Milioni 10 Rubani Kapteni Peter Mapunda kwa ushujaa wake wa kuondosha ndege kilazima nchini Kenya wakati jumuiya ya Afrika Mashariki ilipovunjia nao waelezea kuhusu rubani wao Mwaka 1977 Jumuiya hiyo...
  7. Kunguru Mjanja

    Museveni quarrels with NBS TV journalist, calls media bad television and parasites

    A reporter from NBS television on Monday evening found himself caught up in a hot exchange with the country’s president, Museveni. Joseph Sabiti who describes himself as a “journalist and patriot” rose to ask a question while Museveni addressed press after launching the anti-corruption unit at...
  8. Kunguru Mjanja

    Mbeya: Askari ahukumiwa miaka 10 jela kwa kumuua Mtendaji wa Mtaa

    Mahakama Kuu kanda ya Mbeya imemuhukumu kwenda jela kifungo cha miaka 10 Askari wa Jeshi la Polisi G.4079 PC Juma Nestory (28) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya ambaye anadaiwa kuwa naye kwenye mahusiano...
  9. Kunguru Mjanja

    Serikali: Zuio la wanafunzi wanaopata mimba kurejea shuleni halizihusu shule binafsi

    Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kuzuia wanafunzi wanaopata mimba kurejea shule kuwa suala hilo halizihusu shule binafsi. Ufafanuzi huo umetolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenda kwa Chama cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi Tanzania (Tamongsco) ukiwataka kutofuata...
  10. Kunguru Mjanja

    Dar: Sehemu za starehe za Elements, Eaters, Didis, Buckets na Jackies zatakiwa kubomolewa kwa kuwa kwenye hifadhi ya barabara

    Wakazi wa maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam wanatakiwa kubomoa majengo yao waliyojenga kwenye hifadhi ya barabara kabla hawajaondolewa kwa nguvu. Miongoni mwa maeneo maarufu yatakayobomolewa kwa kutekeleza agizo la Wakala wa barabara za mijini na vijijini (Tarura) ni Elements, Eaters Point...
  11. Kunguru Mjanja

    European Union(EU) leaders seal Brexit deal

    Uingereza ya kubaliwa kujiondoa Umoja wa Ulaya Rais wa EU, Donald Tusk amesema viongozi 27 wa Umoja huo waliokutana Mjini Brussels Ubelgiji wamekubali na kupitisha mpango wa Brexit Amesema Wameidhinisha Makubaliano ya Uingereza kujitoa kwenye Umoja huo pamoja na tamko la Kisiasa la uhusiano wa...
  12. Kunguru Mjanja

    Reuters: In Tanzania, a bulldozer president tests donors

    The soldiers started fanning out in the cashew nut growing regions of southern Tanzania - a jolting sight for traders and, campaigners say, a watershed moment for a country once held up as a darling of development groups. The government said the troops were there last week to make sure growers...
  13. Kunguru Mjanja

    Daraja lililopo kati ya Ziba na Nzega lakatika, njia haipitiki

    Daraja hilo limekatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Tabora Inashauriwa Wasafiri wanaoelekea mkoa wa Dar es Salaam waende moja kwa moja hadi Tabora ili wapitie Itigi Aidha, wanaoelekea Arusha waende mpaka Puge wapitie Nkinga hospitali kisha watokee Ziba au Nyandekwa na...
  14. Kunguru Mjanja

    Baada ya kufunga magoli 365 na kushinda makombe 11 kwa miaka 20, King Didier Drogba atundika daruga

    Chelsea legend Didier Drogba has confirmed his retirement from playing, ending "an amazing 20 years". The Ivory Coast striker, 40, had two spells at Chelsea, scoring 164 goals in 381 games and winning four Premier Leagues and the 2012 Champions League. He spent the last 18 months of his...
  15. Kunguru Mjanja

    Thamani ya Shilingi ya Tanzania yaporomoka kwa Kasi

    Thamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya dola ya Marekani ambapo kuporomoka na kufikia kiwango cha chini zaidi katika miaka mitatu iliyopita Dola moja kwa sasa ni wastani wa Tsh. 2,300 mara ya mwisho kwa kiwango hicho kufikiwa ilikuwa ni Julai 2015 ambapo Benki Kuu ya Tanzania(BoT) iliingilia...
  16. Kunguru Mjanja

    Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    Rais Magufuli leo Novemba 10, 2018 amekagua magari ya Jeshi, Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ Magari hayo yanaweza kutumika kubebea Korosho katika mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) iwapo wanunuzi wa zao hilo hawatazinunua baada ya siku ya Jumatatu saa kumi jioni =======
  17. Kunguru Mjanja

    Jumuiya ya kimataifa yashtushwa na tamko la Makonda kuhusu ushoga

    Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba kuna kamati itakayo undwa kufuatilia na kuwakamata mashoga, na kuwahamasisha watu kuripoti wale wanaoshukiwa kuwa mashoga. “Watu wajinsia moja...
  18. Kunguru Mjanja

    DR CONGO: Ajali ya gari la kubeba mafuta yaua Watu takribani 50 na kujeruhi 100

    Takriban watu 50 wameuawa baada ya trela ya kusafirisha mafuta kugongana na gari ndogo katika barabara kuu magharibi kwa Jamhuri ya Demokrsi ya Congo. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Kisantu, kati ya mji mkuu Kinshasa na bandari ya Matadi. Watu 100 walipata majeraha mabaya ya moto kwa...
  19. Kunguru Mjanja

    Mwanza: Mkuu wa Shule mbaroni kwa kijihusisha Kimapenzi na Mwanafunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Misungwi jijini Mwanza, Juma Sweda amemweka rumande Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Misasi, Deusedent Damas akituhumiwa kujihusisha na mapenzi shuleni. Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 5, 2018, Sweda amesema kutokana na ushirikiano mzuri uliopo kati yake, jeshi la...
  20. Kunguru Mjanja

    Takribani Watu 10 wamefariki katika Tetemeko la Ardhi nchini Haiti

    Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 5.9 kipimo cha ritcha lilipiga jana Oktoba 06 umbali wa Kilometa 20 Kaskazini-Magharibi mwa bandari ya Port-de-Paix Limeleta uharibifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuangusha majengo mengi zikiwemo hospitali na majengo mengine ya Serikali Kamanda wa Polisi eneo la...
Back
Top Bottom