Search results

  1. Black Jesus

    West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign

    West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign Hollywood A-Listers' biggest box office flops West African leaders on Monday adopted a tough four-point plan in a bid to resolve Mali's crisis. The measures included calling for the resignations...
  2. Black Jesus

    Harvest of Shame

  3. Black Jesus

    Muslim prayer hall is ransacked by Koran-burning demonstrators

    Muslim prayer hall is ransacked by Koran-burning demonstrators chanting 'Arabs get out' on the French island of Corsica Furious mob smashed glass and burned the Koran in the prayer hall attack In response to two firefighters being wounded by 'several hooded youths' Up to 600 protesters...
  4. Black Jesus

    Myanmar's Suu Kyi Heading For Election Win

    Aung San Suu Kyi's party says it has 80% support in some areas but "The Lady" warns supporters not to provoke the losers. The chairman of Myanmar's ruling party has conceded defeat in the country's first free general election in 25 years - with opposition leader Aung San Suu Kyi apparently set...
  5. Black Jesus

    Watanzania wezangu mtaikumbuka kauli yangu hii wakati wa vilio utakapowadia

    Amani na Mapenzi yawe Juu yetu na Nshi yetu kwa Ujumla ,nitajikita katika hoja moja kwa moja, kama mtaumbuka na kama baadhi yenu hamkumbuki au kwa bahati mbaya hamkufatilia zile chaguzi za Urais kule Zanzibar jinsi gani wazee wawili hawa tunao wapamba kwa sifa zisizo mfurahisha Mmungu na...
  6. Black Jesus

    Mchezo Uliochezwa Zanzibar Ndio Utakaochezwa Katika Kinyanganyiro cha URais wa Tz

    Ndugu Zanzgu WaTanzania, mnakumbuka ule uchaguzi Uliomtenguwa Ndugu Bilali asiwe Rais wa zanzibar ?na badala yake akapewa Umakamo wa Jamhuri ? Mchezo kama ule au uliofanana na ule atakao fanyiwa Lowassa .
  7. Black Jesus

    Race hate gang jailed for nearly 25 years for attacking black church minister

    Minister and his two teenage sons were attacked in Dovecot, Liverpool Elder son, 17, had to pull nail from head after he was hit with fence panel Father had challenged gang after they abused his teenage daughter Judge tells gang their hatred made him feel 'ashamed as a fellow human' Connor...
  8. Black Jesus

    Tuwapongeze wabunge wetu wa bunge la katiba kutoba TZ bara

    WABUNGE wetu kutoka bara wanahitaji kuungwa mkono katika harakati zinazo endelea, kwa kiwango kikubwa wanaendelea kuifanya kazi ngumu, binafsi nawaunga mkono kuondoa neno Tanganyika katika katiba mpya pia nakubaliana nao katika mfumo wa serekali mbili, ikumbukwe tunachokihitajia ni serekali...
  9. Black Jesus

    Navy SEALs 'took turns dumping HUNDREDS of bullets' into Osama bin Laden's dead body, a new report r

    Navy SEALs 'took turns dumping HUNDREDS of bullets' into Osama bin Laden's dead body, a new report reveals Special Ops sources have claimed that the Navy SEAL team unloaded multiple magazines full of ammunition into the dead terror leader's corpse Some think the alleged excessive treatment...
  10. Black Jesus

    Kuluman alainaha,ni ujumbe unaotoka ndani ya Office kuu ya CCM

    Dk.Emmanuel Nchimbi
  11. Black Jesus

    Hivi wachungaji hawana haki ya kufuatilia ?

    Ni katika kesi ya kutupa Bomu kanisani Arusha ,kuna baadhi ya wachungaji walitaka kuelewa mwenendo wa kesi lakini kwa bahati mbaya wamekuta na vitisho ,huku mwenendo mzima wa kesi hiyo umegubikwa na usiri ,lakini chakusikitisha zaidi hata waumini nao wamepata hofu nawao wameshindwa kufatilia...
  12. Black Jesus

    Ndugu Viongozi na wananchi wapenzi wa Tz

    Ndugu Zangu wa Tz na wapenzi wa Nchi hii ,nimekuwa nikifuatilia kwa karibu ziara za viongozi kwa Upande wa Zanzibar kumekuwa na mtindo wa Viongozi wa ngazi za Juu katika vyama vya siasa upande wa Zanzibar ,wanapokuwa katika Ziara za ki chama huchanganywa mambo ya visomo ya vitabu vya Dini...
  13. Black Jesus

    Wabunge wa Zanzibar Ndani ya Bunge ni sawa na waalikwa wasikilizaji

    Mijadala mingi ndani ya bunge haiwahusu wabunge kutoka Zanzibar kwa nini kusiwe na siku zao malum zakuingia ndani ya Bunge pale zinapoongelewa hoja zinazowagusa upande wa Zanzibar.?
  14. Black Jesus

    Kuendelea Kuwepo Kwa Serekali Ya Zanzibar Ni Makosa Kisheria

    Sitopenda kueleza mengi isipokuwa tuchukuwe kumbukumbu za nyuma zilizowahi kutolewa na Mwansheria wa Zanzibar wakati huo na kungwa mkono na Viongozi wa Zanzibar, Mwamsheria wa Zanzibar kwa wakati ule alichambuwa kifungu cha sheria kinachosomeka kama hivi ifuatavyo: Mwanasheriaa Mkuu wa...
  15. Black Jesus

    Thank you and good night': Pope Benedict's last message.

    Thank you and good night': Pope Benedict's last message to cheering crowds as he becomes first pope to retire in 600 years Benedict XVI tells crowds at summer retreat that he is 'simply a pilgrim about to start his last journey on Earth' Benedict boarded Italian Air Force helicopter to fly to...
  16. Black Jesus

    10 dead in Nigeria mosque attack

    The majority of those killed appeared to be leaving the Nigerian village's main mosque after the early call to prayers Gunmen armed with rifles and machetes have attacked a rural village in northern Nigeria, killing at least 10 people...
  17. Black Jesus

    Pongezi za Zati Rais wa Zanzibar kuwasilisha Ujumbe sasa tupo nawe na upo nasi.

    Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein Zanzibar President Dr Ali Mohamed Shein yesterday warned Islamic Revival Forum ‘Uamsho’ against breach of the peace and tranquility, saying the government will use its powers to safeguard people. He said the government is committed to...
  18. Black Jesus

    Nimefurahishwa na Ujio wa Rais wa Zanzibar kanisani kwetu ijapokuwa mama shein alikosekana.

    Nilipata faraja kwa mara ya kwanza katika historia ya Zanzibar kumuona Rais wetu amehudhuria katika shuhuli zetu tunakushuru kwa kuitikia witowetu pia tungefurahiwa zaidi uwepo wa mama shien kama ulivyokuwa uwepo wa Rais mkapa na mama mkapa
  19. Black Jesus

    Break news ...... For Your Information

    Hivi nandika habari hizi uwamuzi uliofikiwa na wamuzi hakutokuwa na waziri au kiongozi yoyote yule atakae wajibishwa kitakachofanyika ni kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya,kwa maelezo zaidi kuweni karibu na vyombo ya habari kuanzia sasa.
  20. Black Jesus

    CCM ya Zanzibar iwapo Chadema kitaingia madarakani.

    Nipata bahati ya kukutana na mmoja wa makamando wa CCM kule zanzibar tuliongelea mengi kuhusu pande zote mbili za Tanzania na hali halisi ilivyo hivi sasa na huko mbele nini kinaweza kutokea, nikamuliza unakionaje chama cha chadema? alinijubu huku akionesha uso wa furahana kusema kinasikika...
Back
Top Bottom