Search results

  1. D

    Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Habari Wakuu nauliza kuhusu namna ya kupata kibali ( leseni) ya kutoa mikopo midogo midogo kwa mtaji wa milion tano. Hii ni baada ya kufatilia hii biashara nakuona inalipa hvo nawakaribisha kwa ushauri wowte ukiweno na huo wa garama za leseni kwa wale wenye uzoefu. Natanguliza shukran.
Back
Top Bottom