Naombeni msaada manake IDM katika computer yangu imekataa kata kata kufanya kazi baada ya kuwa ime-expire baada ya siku 30 za majaribio. Nimejaribu kufuata taratibu za kucrak lakini hakuna kitu, nimejaribu ku-uninstall na ku-install mara kibao lakini wapi, kila nikiweka inaniletea kaprompt...
Wadau nimepata taarifa sasa hv kuwa hosp ya St. Joseph ya kanisa katoliki iliyopo moshi mtaa wa soweto imeungua. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze plse.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.