Ninaiomba Serikali kupitia wizara ya afya itoe muongozo kwenye matumizi ya vinywaji viitwavyo energy maana imefikia watu wanadhani ni soda wanakunjwa kila baada ya kula na kukata kiu au vichanganyio vya pombe kali.
Mbaya zaidi vijijini kwenye sherehe wanawapa mpaka watoto wadogo kama juice...
Rejea na kichwa cha habari hapo juu..
Mimi ni Mwananchi wa kawaida na mtumiaji wa mtandao wa TTCL.
Nimezungumza haya kutokana na matatizo ndani mtandao yasiyokwisha kama sasa hivi karibia wiki nzima eneo nililopo sina uhakika na maeneo mengine vocha hazinunuliki iwe kwa selcom maxmalipo NMB...
ijumaa karim wana jamvi..
nimekuwa nikiona matangazo ya opera browser na opera newz app ambao ni kitu kimoja katika mitandao yanayohamasisha kui download lakini kwa asilimia 100 ya ADS zao zinalenga udhalilishaji wa kina MAMA na DADA zetu..
binafsi nimeona haijakaa poa..sijajua kisheria imekaaje...
Nimeomba UK visit visa miezi 6 nimekosa kwasababu mbali mbali moja wapo ni kuwa hawana uhakika kama nitarudi tena bongo pia hakuna genuine relationship Kati ya mimi na sponsor, nataka kuomba tena naomba ushauri wenu wana JF kwa watu wenye experience ya UK visit visa.
maana nina rafiki yangu...
Wadau ninauza toyota wish iko vyema katika ubora wa upya..haijapata kash kash yeyote tokea inafika zaidi ya service tu..
Iko Njombe..
Ukifika nikuwasha na kuondoka tyre mpya rim sport..
NJOO PM TUFANYE BIASHARA AU PIGA 0765813691
WAHI
katika mechi ya kirafiki ilochezwa na Njombe mji fc na azam fc..njombe mji imeinuka kidedea kwa kuichapa Azam 2 bila...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau habari ya asubui, nauliza kwa wataalam wa afya kwamba maziwa ni tiba au kinga ya kweli %100 kutibu magonjwa ya tokanayo na vumbi kali..
Jamii mtaan inaamin kwamba ukitoka kwenye vumbi ukinywa MAZIWA umesha tibu...
imenikuta mara kadhaa nikiwa safarini madereva wa hiz harrier second generation kujiamini wanapenda wawe mbele muda wote...hata mlimani wana overtake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.