JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION?
Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo Tanzania BBC ikaacha kulitangaza tena mara nyingi bila weledi wala kuzingatia taaluma.
Jana...
“Kazi ya chama cha siasa kilicho imara ni kuwa kama daraja la kuwaunganisha watu na Serikali waliyoichagua, na kuiunganisha Serikali na watu inayotaka kuwahudumia. Ni wajibu wa Chama kuwasaidia watu kuelewa Serikali yao inafanya nini na kwa nini; ni wajibu wake kusaidia watu kushirikiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.