Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao.
So wana vitendea kazi ama...
Tujitahidi tunapokuwa na nafasi mbalimbali maisha yetu yaguse Watu as possible as it can take ili tusiwape watu kazi ya kutuelezea kinagaubaga ili kufahamisha waliobaki hai jinsi tulivyokuwa muhimu.
Mtu anaweza kuwa na kanafasi kadogo akagusa watu na maisha yake kuliko mwenye Macheo makubwa...
Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha?
Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
Wasalaam Ndg. Watanzania wenzangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Yaani imesikitisha kuona jinsi ambavyo "Wabunge" wamekuwa kitu kimoja kufunika hilo kombe linalozidi kufurisha.
Kwa mujibu wa Mpina ufisadi, Ubadhirifu na Rushwa vimeleta hasara ya trilioni 30 kwa miaka miwili...
Nina kakangu amesema chuo UDSM mwaka 2017 Stashahada ya uzamili ya elimu kila akiomba tangu 2018 hapati wala hakuna hata mmoja wa degri hiyo alichukuliwa. Unajiuliza waliruhusu isomwe hapo UDSM kwa ajili gani?
Kama practical alifanya na kukaguliwa na alipata A. Hii kweli inajeruhi. Kama...
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimesomea shahada ya sanaa katika utamaduni na utalii.
Inahusisha pia Hotels, Tour companies, Museums
Pia nina Stashahada ya uzamili(Postgraduate diploma) katika Elimu toka UDSM.
Nina leseni na cheti cha udereva wa gari za kawaida. Ninafanya vyema upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.