Search results

  1. amando pascal

    Kwanini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?

    Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
  2. amando pascal

    Je, unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?

    [emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini? T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea off-road kiufupi ni ile go-anywhere snow, dirt, and gravel.
  3. amando pascal

    Dizasta vina - Hatia V

    Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa anajua sana. Vipi maoni yako mwana #JF #DIZASTAVINA #HATIA
Back
Top Bottom