Search results

  1. maya mikel

    Tweet ya Mtaji wa 200,000/- ya Benjamin Fernandes ya pata wanunuzi wengi mno.

    Anajulika kama Mtanzania wa kwanza kusoma Stanford na Harvard. Al maarufu kama mtanzania aliyekataa mshahara wa zaidi ya 400 ml. Ni yule yule CEO wa Kampuni ya levels za kimataifa --NALA. Ameweza kuleta mjadala mrefu sana huko Twitter na Instagram. Ambao umefanya vijana wengi wa paniki. Kwenye...
  2. maya mikel

    Huduma mbovu kituo cha mabasi Ubungo,Dar es Salaam

    Najaribu kutafakari kwa sauti. Hivi ni kweli Dar es Salaam ya Kaka yangu Makonda. Bado tu hajaona au hata kufikiria jinsi ya kuwasaidia wanachi wake pale kwenye kituo cha mabasi ya mikoani. Kituo hakina sehemu nzuri ya kukaa abiria, hakuna vyoo vizuri yaani pabovu. Kinacho nisikitisha ni kwamba...
  3. maya mikel

    Nikk Wa Pili NA SWALI KUNTU

    Vichwa vya habari 1. Wanafunzi wengi wamefeli mtihani wa kidato cha nne 2. Wanafunzi wengi wanao hitimu vyuo vikuu wanafeli kupata ajira Walio feli wanalia nitakuja kufanya nini mim bila elimu? Waliofaulu wanalia na elimu lakini sijapata kazi ya kufanya? Mazazi/serikali zitasema changamka...
  4. maya mikel

    Tanzania tunafeli wapi kuchangamkia fursa kama hizi?

    Tanzania Tunafeli Wapi, Mbona tunakaa nyuma nyuma sana. Nipo Switzerland nimepeta Nafasi ya kuhudhuria World Economic Forum Annual Meeting Huu ni mkutano mkubwa Sana na nchi zote kubwa duniani wanashiriki kujadili mambo muhimu Sana kama vile utandawazi ujao ( Globalization 4.0) Lakini...
  5. maya mikel

    Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

    Ilianza kama utani hivi wengi wakawa hawa amini, wengi wakaanza kutoa kejeri na kumbeza kumuona limbukeni tena wengine wa kaanza kutukana na kumuona mjinga. Kwa kijana mdogo sana kufanya maamuzi magumu ya kukataa kuajiriwa marekani na kuamua kurudi nyumbani ilialete mabadiliko. Hapa Namzungumzia...
Back
Top Bottom