Shule ya sekondari ya Kemebos iliyopo Bukoba mkoani Kagera haipaswi kuwa inaonekaka katika "Top ten schools" kwa sababu kimsingi hakuna shule inayoitwa Kemebos.
Katika shule ya Kaizirege ndipo ambapo wanafunzi wote hufundishwa na wakati wa mitihani ya kitaifa huchukuliwa wanafunzi bora kadhaa...
Ninaomba kuuliza hivi ile nafasi ya kiongozi wa chama inayoshikiliwa na Zitto Kabwe inapatikanaje kwa mujibu wa katiba yao? Maana sijawahi kusikia wakifanya uchaguzi wa hiyo nafasi.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.