Search results

  1. K

    Naombeni ushauri juu ya Mitsubishi RVR/Outlander

    Habarini wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje. Kwasasa natumia Toyota Premio ambayo kiukweli naifurahia kuanzia consumption ya mafuta hadi issue ya vifaa vyake viko cheap...
  2. K

    Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

    Habarini wakuu! Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu. Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo kwanza ina miezi sita. Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume...
Back
Top Bottom