Search results

  1. Bob_Dash

    Huyu Muhishimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal anacho fanya ni sahihi?

    ​Nimefuatilia sana safari za huyu Muhishimiwa Makamu wa kwanza wa Rais Dr. Mohammed Gharib Bilal anapokuwa kwenye safari za kikazi hapa nchini ama nchi za nje kila wakati lazima aambatane na eitha mke ama wake zake wote, ninajua wazi lazima gharama zote zitakuwa zinagharimiwa na kodi za...
  2. Bob_Dash

    Madaraka ya Raisi wa nchi ni yapi?

    Naombenini mwongozo kuhusu madaraka aliyonayo Raisi, nina uliza hivi kwa sababu hivi karibuni imeripotiwa katika vyombo vya habari kumekuwa na matukio ya vurugu katika mikoa ya Mbeya na Iringa kati ya polisi na wananchi hali iliyosababisha hata watu kupoteza maisha na wenginine kwenda ma...
  3. Bob_Dash

    Miradi ya Maendeleo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    1. Ujenzi wa Msikiti mkubwa na wakisasa 2. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Kiislamu 3. Ujenzi wa Madrasa kubwa ya kisasa Ndugu wananchi Serikali yenu inafanya kila jitihada kuhakikisha inakamilisha hiyo miradi mikuu.
  4. Bob_Dash

    Kwanini kuwa na mawaziri toka Zanzibar wakati wao hawana hata mmoja toka bara?

    Nimeona orodha ya mawaziri wapya pamoja na manaibu, kilichonishangaza ni kuona majina mengi ya watu toka Zanzibar, sasa kwanini kutawaliwa na watu toka Z'bar wakati wao hawana hata waziri ama naibu waziri toka bara?
  5. Bob_Dash

    Elections 2010 Hivi Kingunge Ngombare Mwiru naye ni mbunge?

    Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona baadhi ya picha za wabunge huko Dodoma na huyu mzee yumo pia, hivi bado ni mbunge? na kama ni mbunge...
  6. Bob_Dash

    Elections 2010 Jamani vipi kuhusu HALI YA AFYA YA MREMA?

    Sina nia ya kuchimba mtu kwa saana, lakini picha za hivi karibuni za huyi Muhishimiwa Mrema naona kama mzee kazoofu hivi ama macho yangu tu?
  7. Bob_Dash

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Jamani hivi huyu mwasheria aliyewahi kuwa Mbunge siku za nyuma nadhani kupitia NCCR kama sikosei, yuko wapi siku hizi? Mbona hasikiki tena, nilisikia habari kuwa alijiengua kutoka NCCR na kujiunga na CCM, je ni kweli?
  8. Bob_Dash

    Pendekezo: Katiba la

    Unajua kutokana na katiba ya uchaguzi ya hivi sasa kuruhusu wapiga kura kuchagua mgombeaji badala ya chama, nadhani inaruhusu kuwepo na hii loop-hole ya wizi wa kura na wanaweza ku justfy wizi wao easy. Sasa mimi pendekezo langu ni hili, kwanini wasirekebishe katiba ikawa watu wana vote kwa...
  9. Bob_Dash

    Elections 2010 Swali : HIVI SPIKA WA BUNGE HUCHAGULIWA NA WABUNGE AMA RAIS?

    Jamani nikuwa na ka swali kangu hapo, kutokana na kuwa mbali na home kitambo, kuna baadhi ya mambo sikumbuki vizuri, hivyo nikuwa naomba jibu ama ufafanuzi juu ya hilo.
  10. Bob_Dash

    Elections 2010 Re: Dr Slaa atafanya nini baadaye

    Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo kwamfano endapo Mbunge KAVUTA, na nina hakika kwa hii mijeredi waliyochapwa CCM nafasi hizo za jammaa...
  11. Bob_Dash

    Elections 2010 Sasa TUNATAKA SPIKA MPYA WA BUNGE!!!!!!!!!!!!!!!

    Kutokana na mapinduzi haya ya Kihistoria ya Kisiasa kutokea katika nchi yetu nadhani sasa tunahitaji SPIKA MPYA wa bunge ili mambo ya KIUNDUGU NA KUJUANA KWA SANA iwe mwisho, Wabunge wawe huru kutoa maoni/malalamiko yao bila kutishiwa, mnaonaje wadau?.
  12. Bob_Dash

    Elections 2010 Swali : KUNA HAJA GANI YA KUWA NA WABUNGE WA KUTEULIWA?

    Kama kweli uongozi wa nchi unatakiwa kutokana na matakwa na mapendekezo ya wananchi , basi kuna haja gani ya kuwa na lundo la WABUNGE WA KUTEULIWA? isitoshe baadhi ya hao miongoni mwao wanakuja kuteuliwa kuwa MAWAZIRI wakati wananchi hawakuwachagua ama kuwakubali in first place. WHAT'S THE POINT...
  13. Bob_Dash

    Elections 2010 Naombeni matokeo ya jimbo la MUHAMBWE - Kibondo

    Hivi kuna mtu yeyote aliye na data za jimbo la Muhambwe - Kibondo (Kigoma) manake CCM walimtosa mzee mwenzao Arcado Ntagazwa naye akaingia kambi ya jirani (wapinzani) CHADEMA, sasa sijui vipi huko
  14. Bob_Dash

    Elections 2010 Matokeo ya ukweli haya hapa sasa

    1. Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA 2. Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA 3. Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF 4. Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA 5. Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA 6. Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA 7. Maswa Magharibi- John...
  15. Bob_Dash

    Elections 2010 Jk kakimbilia mwanza ama zanzibar?

    Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo
  16. Bob_Dash

    Elections 2010 Naomba oradha ya wabunge wa chadema walioshinda mpaka hivi sasa

    Nimekuwa nikipitia blog mbalimbali kutafuta takwimu ya wabunge wa CHADEMA waioshinda katika majimbo yao, lakini bado sijafanikiwa kupata habari za uhakika, zaidi ya Zitto Kabwe ambaye ameshinda takribani katika vituo vyote vya kura huko Kigoma-vijijini. Sasa naomba tuweke majina yao na majimbo yao.
  17. Bob_Dash

    Elections 2010 Zanzibar inaonekana mambo bado magumu kwa cuf

    Nimejaribu kupitia blog ya HAKINGOWI, amejaribu kuweka matokeo ya Urais kutoka katika majimbo kadhaa na inaonesha CCM wanaongoza kwa kishindo, lakini baadhi ya wanachama wa CUF inaonekana kutokuridhishwa na matokeo hayo. Nazidi kutafiti zaidi
Back
Top Bottom