Search results

  1. nyiokunda

    Mwezi huu umetulia

    Tukiwa katika mifungo ya dini ,mwezi huu kuna unautulivu sana. Kwanza hamna ukabaji na uvunjaji wa majumba, abiria hawapiti madirishani hasa wakazi wa Mbagala, uchangu doa umeyeyuka , kwenye bar watu hawarushiani vyupa na kitimoto napata poa kabisa. Bahati mbaya vioteli vya mjini vimefungwa na...
  2. nyiokunda

    Wakazi wa Dar mtatuua kwa vikwapa kwenye daladala!

    Nimekuwa natumia usafiri wa basi kwenye shughuli za kujenga nchi yetu, lakini abiria kwenye mabasi wananuka sana hapa Dar es Salaam angalau wa Posta makumbusho labda kutokana na kazi zao. Kwa mimi ninayetokea njia ya Mbagala ni hatari labda nature ya kazi za watu wa huku. Sasa nimeamua kuvaa...
  3. nyiokunda

    Ukarimu Uliwaponza Lebanon

    Lebanon ilikuwa na idadi kubwa ya Wakristo katika eneo la Mashariki ya Kati na ilipata mafanikio katika maendeleo na uchumi, ingawa haina utajiri wa mafuta na gesi. Ilikuwa inalinganishwa na Paris, lakini bahati mbaya ilikumbana na wimbi kubwa la wakimbizi kutoka Palestina wakati taifa la Israel...
  4. nyiokunda

    MAJESHI YA ANGA KUNANINI?

    Kuna jamaa zangu wajeshi wanalalamika sana kukatwa posho za vinywaji ili kuendesha shughuli za vikosi Kama stationery mwezi wa tatu na wa sita,hii imekaaje.
  5. nyiokunda

    Magaidi waishambulia Medina

    Suicide Attacks Near Prophet Muhammad's Mosque in Medina and Other Mosques Two time synchronized suicide attacks have been reported near the el-Omran Shia mosque in Qatif City and near the Prophet Muhammad's mosque in Medina. Residents report hearing multiple explosions at each location...
  6. nyiokunda

    Kati ya nchi za magharibi na waarabu ipi ni muhimu kwa maendeleo yetu?

    Nimekuwa nikiangalia uchumi na maendeleo yanavyochangiwa na western taxpayers. Kwanza wanachangia karibia 40pc ya budget yetu, wanachangia maswala ya afya kama dawa za AVR kwa waadhirika wa aids. Vita dhidi ya madawa ya kulevya,maralia n.k Tukija kiuchumi hapo kuna miundo mbinu kama barabara na...
  7. nyiokunda

    Banki ya Zanzibar (PBZ) hivi mpo serious Tanzania bara?

    Benki ya watu wa zanzibar mmengia kutoa mikopo kwa wafanyakazi hasa jwtz.Nilicho kishangaa ndugu yangu yupo arusha aliniambia nimchukulie loan form mwz wa kwanza ,wakaniambia hamna mpaka mwz wa pili. Sasa ndg yangu ame apply tangu mwz wa pili had leo haijatoka na hamna maelezo tosheleza...
  8. nyiokunda

    Anyongwa kwa kutohudhulia sala

    ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers Kijana anyongwa mbele ya msikiti kwa kutohudhulia sala ya ijumaa mbele ya Waumini. Kumekuwa na July my kali kwa kosa lolote katika maeneo yanayodhibitiwa na isis...
  9. nyiokunda

    Wajasiriamali kuanguka awamu ya tano

    Kutokana kubana matumizi ya serikali wafanya biashara wengi wameanguka kibiashara, coz serikali ndo anaye consume zaidi. Makampuni yanakosa tender na wanaanza kupunguza wafanyakazi. Nikiwa kama banker wateja wanasema wanashindwa kuchukua mikopo hasa ma contractors. Nimuhimu serikali isibane...
Back
Top Bottom