Search results

  1. kawombe

    INAUZWA Nauza piki piki fekon power 150,iko vizuri bado. (used)

    Nilinunua piki piki kwajili ya matumizi binafsi kwenye shuguli zangu za kila siku. Kwa sasa nimepata usafri mwingine kwajili ya shuguli zangu. Na mimi ndio mwenyewe piki piki hii na hakuna dalali.iko kwenye hari nzuri sana Bei laki 9 cash Karibuni hii piki piki iko DAR ES...
  2. kawombe

    Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

    Kutoa ni moyo na siyo utajiri kijana mwenzetu ameliona hili kua mwaka ndio kwanza unaanza.Ni bora kupambana mapema kabisa ju ya kesho yako ya mafanikio. Na katika maisha kushikwa mkono imo tena na mtanzania mwenzio. Tumia hii kama fursa kabisa usingoje kesho anza sasa kwa better future yako...
  3. kawombe

    MAFAO YANGU BAADA YA 10-15 YEARS.

    Habari za kupambana n majukumu ya siku!!! Mm Kama kijana wa kitanzania mwenye afya timamu.Kama mfanyabiashala wa kati ambae riziki yangu c haba kwa kweli. Nimekaa na kutafakali sana mpaka sasa kuhusu bznesi zangu nashukuru mungu zinaenda vzr. KUBWA HASA KICHWANI KWANGU kwa sasa Nikuwekeza...
  4. kawombe

    Viwanja Kigamboni opposite na Avic town

    Kuna viwanja vinauzwa maeneo ya kigamboni vinatizamana n AVIC TOWN umbali kutoka city center ni 26 KM.na kutoka njia kuu y kimbiji kwenda kwenye viwanja ni 3 KM TU.Vipo vilivyo pimwa vitatu tu Square meters 400 Square meters 500 Square meters 600 Kila square meters 1 = 10000 Kipo pia kimoja cha...
Back
Top Bottom