Wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria. Nilinunua kiwanja kabla ya kuwa n.a. mchumba. Baadae nikapata mchumba lakini kabla hatujafunga ndoa nikawa nimejenga nyumba hadi kiwango cha Renta. Baadae tukafunga ndoa nikaendelea kuimalizia taratibu. Kukatokea mfarakano kwenye ndoa hadi kazaa nje ya nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.