Katika moja ya barabara inayonipa hasira ni hii. Ni miaka km 3 imepita toka itengenezwe, na ilitengenezwa katika upana mzuri, japo haikuwa imara saana ila ilikuwa inaitaji marekebisho baadhi ya sehemu. Cha ajabu ilibomolewa yote kwa hasira kali, na kuachwa na mashimo ya kutisha. Sijui...
Hili jambo linaudhi sana, sijui ni ukandarasi wa wapi huu wa kuweka mawe makubwa barabarani km majambazi, kuna hii barabara ya hovyohovyo ya kutokea mwenge hadi Morocco,
Kuna watu wanapata ajali za kutisha kimya kimya, hasa usiku, watu wanaulemavu wa kudumu kutokana na hii mitofali...
Mimi ni mnywaji kidogo wa kinyagi, hasa weekend, tatizo ni kufungua kinywaji hiki, mara upige kwa chini, mara uinamishe juu chini, yaani ni shida tu. Sasa uwe umekosea kidogo, ni lazima utafute kisu ukate sill.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.